Maisha ya Wakenya rahisi sana, IST inauzwa KShs laki 6 tu

Maisha ya Wakenya rahisi sana, IST inauzwa KShs laki 6 tu

Wanakushambulia mleta mada huku wamesahau nchi yao ili ununue gari la milioni 10 inabidi uwe ni mil 20.
Ndiyo maana sijibu comment yoyote, ni kama vile hawajui kuwa hiyo laki 6 ni sawa na milioni 12 za hapa bongo. Na ili upate IST hapa bongo inabidi uwe na 18-20M. Sijui hawaoni hiyo tofauti?
 
Sio kweli Kenya hawaruhusi magari yalio zidi miaka 10 na kuendelea IST nyingi modol zake ni kuuanzia 2001, kenya haziruhusiwe au unaongezewa kodi ya uchakavu ambao ni kubwa.
Kasema IST, na kuna IST mpya, hujaziona?
 
Kwahiyo wakenya 600K KSH inawashinda hadi wanachoma mabunge? Bora bongo.
 
Ndiyo maana sijibu comment yoyote, ni kama vile hawajui kuwa hiyo laki 6 ni sawa na milioni 12 za hapa bongo. Na ili upate IST hapa bongo inabidi uwe na 18-20M. Sijui hawaoni hiyo tofauti?
Unasema hujibu comment yoyote kwa kuamini upo sawa, wakati wewe ndio hujui hata ulichoweka hapa. Bongo IST mil 18-20 ukinunua yard na ukapata usajili mpya, Ila mkonini Bei yake ni kuanzia milioni 7, 8, 9 na kuendelea kulingana na hali ya gari

Hiyo Kenya unayosema laki 6 ambayo ni sawa na mil 12 bongo ni pia mkononi sio yard.
Ungeweka Bei ya IST Kenya ikiwa mpya(yard) na ungelinganisha na hii unayolalamika bongo ya mil 18.

Kshs 600,000(sawa na mil 12 bongo) ni ya mkononi nakuwekea mfano chini, tena kwa usajili huu wa KBR ni sawa na D za mwanzoni hapa bongo, ambapo utapata kwa milion 7 au 8
 
Attachments

  • Screenshot_20240709-143408_1.jpg
    Screenshot_20240709-143408_1.jpg
    285.2 KB · Views: 2
Means its better mtu ukajinunulia zako used toka kenya kuliko japan ambako kuna maskrepa kibao
Siamini kama unaelewa hiyo laki 6 ya Kenya ni sawa na mil 12 ya bongo, na pia hiyo gari sio mpya ni ya mkononi kama unavyouziwa na madalali wa sinza
Labda hukuelewa kinachozungumzwa
 
Siamini kama unaelewa hiyo laki 6 ya Kenya ni sawa na mil 12 ya bongo, na pia hiyo gari sio mpya ni ya mkononi kama unavyouziwa na madalali wa sinza
Labda hukuelewa kinachozungumzwa
Naelewa na nakubali hiyo 12m unapata ist nzuri tu Tanzania.

Point yangu ni kwamba unaweza pata ist imechoka Tz mileage nyingi kuliko kenya ambapo gari zao haziingiii chakavu na zenye umri mrefu.

Tanzania mtu yuko radhi anunue FERARI imechokaa apambane na TRA kodi kubwa na alipe tofaut na kenya ambapo hawaruhusu magari yalio enda age.
 
Kununua gari iliyochoka sometimes ni uamuzi wako tu, wapo trusted agents wanakuletea gari imenyooka na mpya
 
Means its better mtu ukajinunulia zako used toka kenya kuliko japan ambako kuna maskrepa kibao
Mkuu kwani Japan hakuna gari used za 2016? Huko Kenya kuna scrapper kuliko Tz zinazunguka humo humo. Miji mikubwa hadi leo wana Hiace za 1993
 
Sio kweli Kenya hawaruhusi magari yalio zidi miaka 10 na kuendelea IST nyingi modol zake ni kuuanzia 2001, kenya haziruhusiwe au unaongezewa kodi ya uchakavu ambao ni kubwa.
We ndo muongo balaa ist zipo za 2006 mzee wangu
 
Wewe mpuuzi sio sexless tu bali ni Brainless pia. Million 12 ya kitanzania ni ni usd 5,000. Je unajua jinsi gani kupata usd 5,000 Marekani? Mtu kama wewe usiye mbele wala nyuma utabidi uuze figo na maini kuipata. Vilevile na huko Kenya, unajua ni jinsi gani kuipata hiyo laki 6 ya kikenya?

Hivi unajua maana ya economical proportionality?
 
Tatizo kubwa wa Tanzania wengi hawana exposure ya nje ya nchi wapo wapo tu na CCM yao, kuna kijana ana miaka 50 ajawahi kuvuka mpaka wa nchi ila nimsomi kabisa, hilo limefanya watanzania wengi kua mbumbumbu.
Yaani wewe unamuita mtu wa 50 kijana? Huyo ni mzee tayari. Alafu hapohapo unasema watu hawana exposure?
 
Back
Top Bottom