Sio kweli Kenya hawaruhusi magari yalio zidi miaka 10 na kuendelea IST nyingi modol zake ni kuuanzia 2001, kenya haziruhusiwe au unaongezewa kodi ya uchakavu ambao ni kubwa.Ndiyo! Laki 6 tu lkn kwenye ile nchi uchwara kwa hela yao bei ya IST inafika milioni 20. Mtu akiwa na KShs milioni 100 anaweza kununua mabasi yote ya mikoani pale Magufuli stand.
Kile kinchi uchwara sijui kikoje? Hivi kina laana kweye hicho kinchi
Hamia mkauane vizuriNdiyo! Laki 6 tu lkn kwenye ile nchi uchwara kwa hela yao bei ya IST inafika milioni 20. Mtu akiwa na KShs milioni 100 anaweza kununua mabasi yote ya mikoani pale Magufuli stand.
Kile kinchi uchwara sijui kikoje? Hivi kina laana kweye hicho kinchi
Hawaruhusu kabisa gari iliozidi miaka nane. Hakuna kusema wakutoze uchakavu, hawaruhusu kabisa kuingiza gari iliozidi miaka nane.Sio kweli Kenya hawaruhusi magari yalio zidi miaka 10 na kuendelea IST nyingi modol zake ni kuuanzia 2001, kenya haziruhusiwe au unaongezewa kodi ya uchakavu ambao ni kubwa.
Sasa kama ndo hivo IST model ya 2017 utaipata wapi kwa hiyo pesa 600k, mleta post ni muongo kabisaHawaruhusu kabisa gari iliozidi miaka nane. Hakuna kusema wakutoze uchakavu, hawaruhusu kabisa kuingiza gari iliozidi miaka nane.
Labda ya mkononi.Sasa kama ndo hivo IST model ya 2017 utaipata wapi kwa hiyo pesa 600k, mleta post ni muongo kabisa
Huyo alifikiri 600k ni 600k Tz na Ke.600,000Ksh mara Tsh 20 sawa sawa na milioni 12 za Tanzania.
kwa maana hio unataka kusema nikiwa na 12mil sipati IST hapa 255?
Tayari wanazo kwaio wanachange hands tu, hii inachangia resalling value yake kuwa juu.Sio kweli Kenya hawaruhusi magari yalio zidi miaka 10 na kuendelea IST nyingi modol zake ni kuuanzia 2001, kenya haziruhusiwe au unaongezewa kodi ya uchakavu ambao ni kubwa.
Tatizo kubwa wa Tanzania wengi hawana exposure ya nje ya nchi wapo wapo tu na CCM yao, kuna kijana ana miaka 50 ajawahi kuvuka mpaka wa nchi ila nimsomi kabisa, hilo limefanya watanzania wengi kua mbumbumbu.Kwhyo ww na akili zako kisoda unafikiri hyo 600K ya huko kuipata ni easy kama Bongo!? Yn ukiona mtu amenunua hyo IST ujue kasota km hku tu.
Watembee waache kusikilza na kukariri ujinga haya ndio matatzo.Tatizo kubwa wa Tanzania wengi hawana exposure ya nje ya nchi wapo wapo tu na CCM yao, kuna kijana ana miaka 50 ajawahi kuvuka mpaka wa nchi ila nimsomi kabisa, hilo limefanya watanzania wengi kua mbumbumbu.
Hiyo laki 6 kuipata sasa sio rahisi.Ndiyo! Laki 6 tu lkn kwenye ile nchi uchwara kwa hela yao bei ya IST inafika milioni 20. Mtu akiwa na KShs milioni 100 anaweza kununua mabasi yote ya mikoani pale Magufuli stand.
Kile kinchi uchwara sijui kikoje? Hivi kina laana kweye hicho kinchi
Mkuu,hilo sio jibu la hoja yake. Ebu jibu kiuchumi nasi tuelimike. Vinginevyo hoja kama hizi zipotozee.Hamia mkauane vizuri
Vijiwe vya Boda ndio story zao hizoWatembee waache kusikilza na kukariri ujinga haya ndio matatzo.
Huna akilii wewe,,,endeleenii kikimbiaa na masufuria kichwanii njaa itawauaa,,,chakula tuu mnashndwa kununuaNdiyo! Laki 6 tu lkn kwenye ile nchi uchwara kwa hela yao bei ya IST inafika milioni 20. Mtu akiwa na KShs milioni 100 anaweza kununua mabasi yote ya mikoani pale Magufuli stand.
Kile kinchi uchwara sijui kikoje? Hivi kina laana kweye hicho kinchi