Ndiyo maana sijibu comment yoyote, ni kama vile hawajui kuwa hiyo laki 6 ni sawa na milioni 12 za hapa bongo. Na ili upate IST hapa bongo inabidi uwe na 18-20M. Sijui hawaoni hiyo tofauti?Wanakushambulia mleta mada huku wamesahau nchi yao ili ununue gari la milioni 10 inabidi uwe ni mil 20.
Kwahiyo hiyo 12.3 ndiyo sawa na 20M?? Hebu acheni ubishani usiyo kuwa na miguu. Mnaumizwa na makodi mengi lkn wala hamjielewi.600,000X20.66 =12,397,648.16
View attachment 3037506
Kasema IST, na kuna IST mpya, hujaziona?Sio kweli Kenya hawaruhusi magari yalio zidi miaka 10 na kuendelea IST nyingi modol zake ni kuuanzia 2001, kenya haziruhusiwe au unaongezewa kodi ya uchakavu ambao ni kubwa.
Hebu tumia akili kidogo basi,. Sasa hiyo laki 6 ukiibadilisha kwa hela za kitanzani ndiyo inakuwa 20M?600,000 KSh Ni mil 12 za kitanzania
kenya mshahara unaanza 30k ila Tanzania laki 3 , fananisha thamani ya pesa ni yale yaleIna thamani, bei hazipandi hovyo hovyo, wana watu wa uchumi waliobobea
Unasema hujibu comment yoyote kwa kuamini upo sawa, wakati wewe ndio hujui hata ulichoweka hapa. Bongo IST mil 18-20 ukinunua yard na ukapata usajili mpya, Ila mkonini Bei yake ni kuanzia milioni 7, 8, 9 na kuendelea kulingana na hali ya gariNdiyo maana sijibu comment yoyote, ni kama vile hawajui kuwa hiyo laki 6 ni sawa na milioni 12 za hapa bongo. Na ili upate IST hapa bongo inabidi uwe na 18-20M. Sijui hawaoni hiyo tofauti?
Means its better mtu ukajinunulia zako used toka kenya kuliko japan ambako kuna maskrepa kibaoHawaruhusu kabisa gari iliozidi miaka nane. Hakuna kusema wakutoze uchakavu, hawaruhusu kabisa kuingiza gari iliozidi miaka nane.
Siamini kama unaelewa hiyo laki 6 ya Kenya ni sawa na mil 12 ya bongo, na pia hiyo gari sio mpya ni ya mkononi kama unavyouziwa na madalali wa sinzaMeans its better mtu ukajinunulia zako used toka kenya kuliko japan ambako kuna maskrepa kibao
Naelewa na nakubali hiyo 12m unapata ist nzuri tu Tanzania.Siamini kama unaelewa hiyo laki 6 ya Kenya ni sawa na mil 12 ya bongo, na pia hiyo gari sio mpya ni ya mkononi kama unavyouziwa na madalali wa sinza
Labda hukuelewa kinachozungumzwa
Kununua gari iliyochoka sometimes ni uamuzi wako tu, wapo trusted agents wanakuletea gari imenyooka na mpyaNaelewa na nakubali hiyo 12m unapata ist nzuri tu Tanzania.
Point yangu ni kwamba unaweza pata ist imechoka Tz mileage nyingi kuliko kenya ambapo gari zao haziingiii chakavu na zenye umri mrefu.
Tanzania mtu yuko radhi anunue FERARI imechokaa apambane na TRA kodi kubwa na alipe tofaut na kenya ambapo hawaruhusu magari yalio enda age.
Na hii ndio ilikua hoja ya mtoa mada,Wanakushambulia mleta mada huku wamesahau nchi yao ili ununue gari la milioni 10 inabidi uwe ni mil 20.
Wanakushambulia mleta mada huku wamesahau nchi yao ili ununue gari la milioni 10 inabidi uwe ni mil 20.
Mkuu kwani Japan hakuna gari used za 2016? Huko Kenya kuna scrapper kuliko Tz zinazunguka humo humo. Miji mikubwa hadi leo wana Hiace za 1993Means its better mtu ukajinunulia zako used toka kenya kuliko japan ambako kuna maskrepa kibao
We ndo muongo balaa ist zipo za 2006 mzee wanguSio kweli Kenya hawaruhusi magari yalio zidi miaka 10 na kuendelea IST nyingi modol zake ni kuuanzia 2001, kenya haziruhusiwe au unaongezewa kodi ya uchakavu ambao ni kubwa.
Kwahiyo ya 2006 na sita inakua ya miaka mjngapi mzee?We ndo muongo balaa ist zipo za 2006 mzee wangu
Yaani wewe unamuita mtu wa 50 kijana? Huyo ni mzee tayari. Alafu hapohapo unasema watu hawana exposure?Tatizo kubwa wa Tanzania wengi hawana exposure ya nje ya nchi wapo wapo tu na CCM yao, kuna kijana ana miaka 50 ajawahi kuvuka mpaka wa nchi ila nimsomi kabisa, hilo limefanya watanzania wengi kua mbumbumbu.
Hapana kinategemea na muonekano wa mtu kwa mfano January makamba ni kijana ila ana miaka 50+Yaani wewe unamuita mtu wa 50 kijana? Huyo ni mzee tayari. Alafu hapohapo unasema watu hawana exposure?