Maisha ya Wakenya rahisi sana, IST inauzwa KShs laki 6 tu

Tatizo kubwa wa Tanzania wengi hawana exposure ya nje ya nchi wapo wapo tu na CCM yao, kuna kijana ana miaka 50 ajawahi kuvuka mpaka wa nchi ila nimsomi kabisa, hilo limefanya watanzania wengi kua mbumbumbu.
na kuna watu wamekupa likes kabisa..

mzaliwa wa 1974 unamuita kijana?
 
Tatizo kubwa wa Tanzania wengi hawana exposure ya nje ya nchi wapo wapo tu na CCM yao, kuna kijana ana miaka 50 ajawahi kuvuka mpaka wa nchi ila nimsomi kabisa, hilo limefanya watanzania wengi kua mbumbumbu.
Miaka 50 uyo ni kijana?
 
Labda useme thamani ya hela yetu ipo chini lakini sio kusema Kenya wana maisha rahisi. Unaweza kuta kuipata iyo laki 6 yao ukiwa kenya shughuli yake ni ngumu kuliko kuipata milioni 10 ya hapa hapa bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…