Maisha ya wasanii hawa baada ya kujitenga na clouds media...

KR NA TID MNYAMA PERFECT COMBO YA WABWIA NGADA.
 
Rama dee na clouds waligombana nn ila Rama dee mpk leo anaendelea vzr napenda nyimbo zake mbili huwezi na jide na kuwa na subira ft mapacha
Alidandia ugomvi wa ruge na sugu bila kujua chanzo cha ugomvi wao na kuegemea upande wa sugu sasa sugu na ruge walivyo patana yeye na genge la wahuni wenzake wakaonekana ni wanafiki!
 
Umemtaja rama dee au sijaona vizuri..!we hufatilii mziki rama dee ameshinda had tuzo ya kili na wimbo wake wa subira na ngoma hazichezwi clounds ile power yao ya zaman kwa sasa imeshuka sana kina man fongo wamtolewa EFM zaman isingekuwa rahisi
Katika tuzo kili nayo unaita tuzo
 
wewe chinga unaishi wapi? mapacha na clouds walisha maliza tofauti zao ni mwaka wa pili sasa...
 
Hivi Jide amefulia vipi na anapiga show mikoani za jeshi la mtu mmoja? hebu niambie kati ya hao unaowasifia wako juu ukimtoa Diamond na Kiba nani anaweza shindana kupiga show na jide ?
hakuna mkuu mtoa mada kakurupuka
 
udaku special ndo nani kwani? mbona huwa anakopi sred za watu jf na kuhamishia kwenye peji yke insta bila ku aknoleji?
 
udaku special ndo nani kwani? mbona huwa anakopi sred za watu jf na kuhamishia kwenye peji yke insta bila ku aknoleji?

makuu umechanganya thread , sio hii inayozungumzia copy & paste
 
Apo apo ishia baba weka na nukta
 
We utakua dada millarday tu sio bure,nani anasikiliza hiyo redio?na inaonekana we hujui mziki unalazimisha kuujua,yaani JD unasema hasikiki?rama d? we hamnazo aisee
Sorry lakini, naona umemvunjia heshima Millard
 
We umejua vipi km hawaskiki wakat redio unaosikiliza ndyo hiyo hiyo ambayo wana bifu nayo hebu fuatitilia na redio nyingine....ndindindi ilikuwa talk of the town na ikafanyiwa uzinduzi mkubwa mlimani city we ulikuwa wapi ?? Na ilipigwa sana redio mbalimbali mpk kuingia kwny top 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…