Maisha ya watu ni muhimu kuliko biashara au kitu chochote

Maisha ya watu ni muhimu kuliko biashara au kitu chochote

Ile siku alikua anaandika live kwenye zile post za Mange kufurahia dhahiri uharibifu wa mali hadi anasema kabisa Mange tupeni maelekezo nimemdharau sana yule kima!
Mtu anayeweza kumuacha mtoto anayenyonya akafanye harakati,halafu akikamatwa anamtumia mtoto kama ngao ya yeye kuonewa huruma kwamba akanyonyeshe,huyo ni tapeli.
 
Hebu pima kauli yako kwa kwenda kariakoo kaibe Mali za watu halafu sema maisha ni Bora kuliko suruali uliyoiba uone. Kama watakusikiliza
 
Masikini ni wapumbavu sana!! Njia pekee ya kudhibiti hayawani ni kuuwa tu!! Akina Hilda Newton waliona raha kutoa updates wanaenda kuchoma mali ya nani!! Watanzania mjifunze kuwa kuna vitu malipo yake ni kifo tu!
Tangu nIlipoanza kutafuta hela kwa jasho la uchungu naamini kauli yako ni kweli kabisa
 
Fanya dhambi zote lakini usiue binadamu mwenzako!

Cc. Samia
Cc. Makonda
Cc. Wambura
Cc. Muliro
Cc. Mafwele
Cc. Bashungwa
Cc. Nkunda
etc.
 
Jukumu la kwanza laserikali yoyote halali ni kulinda watu kwanza na mali baadae. Kwetu, inaonekana mali tena hao hao watu zina thamani kuliko watu. Hapo, ndipo uharamu wake unapoanzia na kujithibitisha. Tukatae.
 
Wanajua kununua bugati kutembelea katavi
 
Back
Top Bottom