Maisha ya Zanzibar yapoje? Nataka kwenda kutafuta ridhiki

Status
Not open for further replies.
Wengi wapumbafu na wajinga,si tunaona hata huyu mwenzao.
Wapumbavu na wajinga lkn makabila yote ya Watanganyika moja ya alama Yao ya mafanikio INA onekana Kwa kufika ZANZIBAR
Ustaarabu mnakuja kujifunza huku MAVAZI mnajifunza huku upikaji WA vyakula mnajifunza huku hata kuongea Kiswahili mnajifunza huku bado hamnashkrani
Washenzi wakubwa jie wala mizoga
 

Jinsi ulivyoelezea ndio umeonyesha jinsi ulivyo mjinga na mpumbafu,kuna siku nilienda zenji nilipo fika bandarini nikaanza kusikia harufu ya mavi,kumuuliza mwenyeji wangu akasema hivyo ni kawaida mana watu wazenji kufukua na kufukuliwa mitaro ndio ustaarbu walioachiwa na waarabu achilia mbali kuvaa baragashia na msuli.

Sikuwahi kurudi tena hicho kisiwa na wala sina mpango kisiwa kimejaa ufuska na umasikini.
 
Uongo mkubwa wanawake waki Zanzibar hawajui kupika na wachafu na wavivu, Zanzibar fursa ni ndogo sana za kiuchumi tofauti na bara, wazanzibari matajiri ni wazee na siyo vijana, kumkuta kijana wa kizanzibari tajiri ni ngumu wengi wao waishi kwa wazazi tu, tofauti na bara unaweza kumkuta kijana chini ya miaka 30 ana pesa zake mwenyewe na magari na majumba, Tofauti na Zanzibar kumkuta kijana ana miliki mali zake mwenyewe hakuna, Kule Zanzibar biashara zote zimeoziwa na watu wawili au watatu, mfano ukitaka kuanzisha biashara ambayo kuna tajiri tayari anaifanya hupewi kibali , mfano uombe kibali cha kuagiza vyakula nje ya nchi Serikali haikupi kibali kwasababu kuna tajiri tayari anaifanya hiyo biadhara, Tofauti na Tanganyika Mimi nikitaka kuanzisha mfano biashara ya ma busi au Biashara ya magari hukatazwi uwanja upo wazi labda ushindwe kwenye soko. Zanzibar kama wewe unaagiza sukari basi mtu mwingine hapewi kibali.
 
Wanasema watanganyika washamba wakati wao ndiyo washamba wa mambo ya starehe mambo ya mahusiano na ulevi wanawaiga Watanganyika, Nilikuwaga Zanzibar mwaka fulani, sasa vijana waki Zanzibar wakawa wanasikiliza muziki kupitia wireless kijiweni mmoja wao akaniambia mimi kwetu miziki kama hii haipo, Mimi nikawjibu nyinyi mambo ya kusikiliza muziki siyo tamaduni zenu, nikawatolea mifano wewe huu mziki unapiga sasa hivi ukienda nyumbani utaweza kuipiga au hizi pombe unaweza ukaenda nazo kwenu wakakosa majibu, kwakifupi wazanzibari mambo mengi wanajifunza kutoka Tanganyika, Ndiyo maana wazazi waki Zanzibar ikifika saa mbili wamesharudi nyumbani wao hawajui mambo ya Bar wa pombe wao ni kufuga majini tu.
 
Kwa fani hizo ulizozitaja kwanza hakikisha unaweza kuongea kiingereza kwa ufasaha kisha utaendelea kujifunza na kifaransa taratibu ukiwa tayari upo huko, kama ni muislam ukiona siku haijakuendea vyema basi ingia Msikitini, usione aibu kumnong'oneza muumin yeyote utakae muhisi siku imemuendea vyema kisha mwambie "kaka,hadi muda huu sijajua leo nitakula nini!?"
 
Nilisikia maisha yapo juu sana na wanakula mikate usiku.

vitu rahisi ni vya electronics tu kama Tv, blender ila vyakula vipo juu sana.
Hii ni kweli...nimewahi kuishi kule miezi mitatu ( family issues)

Zenji jau sana..sikupendi[emoji57][emoji57]
 
Kuna ubaguzi balaa,utaitwa CHOGO mpaka ufe
 
Fact
 
Teh teh[emoji16][emoji16]
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…