Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ushwai kuishi gerezani ?.mda mwengine acha ujingaSiwezi ndiyo maana namshangaa sana Lissu na wanzake wanavyofanya mambo kijinga halafu wanajiona wana akili. Wakiataka katiba mpya washike dola kwanza bila hiyo hizo ni porojo tu
TASAF ni moja ya maeneo yanayotakiwa kuangaliwa na kupitiwa upya na serikali. Kuna maelfu ya wanufaika vijana, wasio na ulemavu wowote wanaoishia kulewa kila wanapolipwa hiyo pesa.Huku familia maskini kupata 40,000 ya TASAF wanaenda kubebeshwa matofali ktk miradi ya Serikali, Hadi wazee.
Yanayofanyika Kwa wanufaika wa TASAF Awamu hii, haikuwahi Kutokea.
Vijana hao ni UVCCM.TASAF ni moja ya maeneo yanayotakiwa kuangaliwa na kupitiwa upya na serikali. Kuna maelfu ya wanufaika vijana, wasio na ulemavu wowote wanaoishia kulewa kila wanapolipwa hiyo pesa.
Serikali ingeelekeza pesa za TASAF kwa wazee waliofikisha umri wa kustaafu ambao hawana social security cover, na hawana kipato kuweza kujikimu.
Ni rahisi kuwatambua kupitia viongozi wa serikali za mitaa husika.
Tanzania hakuna maskini- watanzania wanakuawaje maskini wakati kila mtu walau ana ardhi 70 kwa 70
Vijana hao ni UVCCM.
Unaweza ona sasa tatizo linapoanzia.
Vi clip uchwara vitakufanya ufie bongo bila kutembea,hao ni Alcoholic,drugs user,lakini umesikia wanapewa msosi msosi ambao wewe huwezi ula,mtaani kwenu kuna mtu yupo Nje sio Uarabuni au Uturuki wala Urusi namanishe Westminster,kama hayupo nenda Zanziber, halafu fananisha huo mshahara wako wa milion moja na wao.
Watawaweza wapi watoto wa mjini???Kwa hiyo kazi mliyobaki nayo Sukuma Gang ni kumsema Lissu tu. Kweli nyie wapumbavu,Msoga Gang mumewashindwa hasira zote kwa Lissu.
Mkiambiwa muweke mlinganyo wa democracy kama marekani hamtaki!!
Trump analia kuibiwa kura. Waliojaribu kutumia haki yao ya kidemokrasia na kikatiba Januari 6 mwaka juzi kuandamana kupinga wizi wa kura, wanasota mahakamani.Mkiambiwa muweke mlinganyo wa democracy kama marekani hamtaki!!
Wameshajengewa nyumba zao kwa msaada wa TASAF na wale ambao hawakua na umeme wamevutiwa umeme kwa msaada wa TASAF saaafi sasa nini kingine mzee, 40k mboni pesa ndogo tu mboni unaanza kuweka nongwa?TASAF ni moja ya maeneo yanayotakiwa kuangaliwa na kupitiwa upya na serikali. Kuna maelfu ya wanufaika vijana, wasio na ulemavu wowote wanaoishia kulewa kila wanapolipwa hiyo pesa.
Serikali ingeelekeza pesa za TASAF kwa wazee waliofikisha umri wa kustaafu ambao hawana social security cover, na hawana kipato kuweza kujikimu.
Ni rahisi kuwatambua kupitia viongozi wa serikali za mitaa husika.
Hakuna labda zamani ilikua k/koo ndio watu walikua wanalala nje ya yale maduka siku hizi hakuna labda daraja la kijazi pale ukipita sahizi utawakuta watu wamejilaza mda huu homeless in town, pia daraja la mfugale pembeni ya KIWANDA cha Azam kuna sehemu za kulala pale nakutaga wadau wamejilaza saaaafi kabisa, njia km unaelekea Airport ukipita kalakana angalia kwenye mitaro mule jamaa hua wanajilaza kwenye makalavati nikipita hua nawakutamtoa posti mazingira kama hayo hapa bongo unaweza kuyafananisha na wapi?
embu onyesha upande wa pili wa watu kama hao kwa hapa tanzania halafu ucompare
Duh!
Nimezaliwa ocean road hospital kipindi hicho 80s .Hakuna labda zamani ilikua k/koo ndio watu walikua wanalala nje ya yale maduka siku hizi hakuna labda daraja la kijazi pale ukipita sahizi utawakuta watu wamejilaza mda huu homeless in town, pia daraja la mfugale pembeni ya KIWANDA cha Azam kuna sehemu za kulala pale nakutaga wadau wamejilaza saaaafi kabisa, njia km unaelekea Airport ukipita kalakana angalia kwenye mitaro mule jamaa hua wanajilaza kwenye makalavati nikipita hua nawakuta
Karibu Dar,