Maisha yako hivi Ulaya na Marekani

Maisha yako hivi Ulaya na Marekani

Nimezaliwa ocean road hospital kipindi hicho 80s .
Nimesoma msingi dsm, chuo udsm.
Nimefanya kazi mitaa ya Kkoo na posta Kwa muda sana.
Naijua dar labda kulipo wewe.
Dar/ Tz hakuna maskini wanaoishi mazingira ya hivyo ya kuwa na uhakika wa chakula na kausafi ka hivyo.
Bongo maskini design hiyo ni destuite .
Mtoa post ni mwehu flani huwezi kufananisha maskini wa US na wa huku asilani.
Hata kama umaskini ni umaskini ila umaskini wa huku umezidi yaani hadi vijana wanaamua kuimba eti bora angezaliwa mbwa ulaya.
Mtoa post umechemsha na hiyo post sijui ulitaka kumaanisha nini
Mimi nilichomuelewa ni kwamba watu wanavyoona kwenye luninga ndio wanahisi uhalisi but kinyume na hapo kuna maeneo huko US hata Tandale kwa Tumbo kuna afadhali, that's the truth utofauti uliopo ni kwamba wao wanasaidiwa na Serikali hata kutafutiwa kazi kupewa mikopo na kupewa hifadhi na chakula angalau huku bongo inabidi ukomae mwenyewe mwanzo mwisho hata ukiweza kuokota makopo na wire za copper au uchomoe vyuma vya reli ukauze upate mkate wako wa siku

Nimekuelezea maeneo baadhi tu Ila yapo maeneo mengi watu wanalala nje tu mengine ukihitaji nikutajie nitakutajia

Mleta mada amelenga kwa wale wanaohisi kwamba US maisha ni easy come easy go kumbe ni tofauti na uhalisia ulivyo kuna watu wanakula msoto huko US nenda huko Compton au New Orleans ndani ndani utaelewa huyo hapo ameonyesha LA Down Town yaan hapo ni sawa na Posta Mpya pale palivyo Ila watu wamepiga kambi na wanalala kwenye ⛺ nje wanakungutwa na baridi, afadhari ya bongo though bongo umasikini umekithiri kuliko US Ila watu wanaishi na misaada ya TASAF 40k kwa mwezi maisha yanaenda
 
Sasa mbona mtu mweusi kila mahali yeye anateseka tu? Hata mbinguni huko nadhani itakua ni tabu tu hakuna kupumzika
 
Katika kitu ambacho sielewi ni serikali kushindwa kupanga miji na kupima viwanja vizuri, unaweza kufikiri labda zamani ndio ilikuwa hivyo lakini hata miji mipya ni ya ovyo kabisa , huhitaji kuwa tajiri kuwa msafi na kupanga miji yako ionekane vizuri lakini tumeshindwa, aibu sana hii na sijui kama umeme na maji tutaweza
Chumba Sebule Million 58
Chumba peke yake Million 24

Bado wanaomboleza Magomeni Kota

Ukijenga mwenyewe Chumba kimoja hakizidi million 7 au 10
 
Mimi nilichomuelewa ni kwamba watu wanavyoona kwenye luninga ndio wanahisi uhalisi but kinyume na hapo kuna maeneo huko US hata Tandale kwa Tumbo kuna afadhali, that's the truth utofauti uliopo ni kwamba wao wanasaidiwa na Serikali hata kutafutiwa kazi kupewa mikopo na kupewa hifadhi na chakula angalau huku bongo inabidi ukomae mwenyewe mwanzo mwisho hata ukiweza kuokota makopo na wire za copper au uchomoe vyuma vya reli ukauze upate mkate wako wa siku

Nimekuelezea maeneo baadhi tu Ila yapo maeneo mengi watu wanalala nje tu mengine ukihitaji nikutajie nitakutajia

Mleta mada amelenga kwa wale wanaohisi kwamba US maisha ni easy come easy go kumbe ni tofauti na uhalisia ulivyo kuna watu wanakula msoto huko US nenda huko Compton au New Orleans ndani ndani utaelewa huyo hapo ameonyesha LA Down Town yaan hapo ni sawa na Posta Mpya pale palivyo Ila watu wamepiga kambi na wanalala kwenye ⛺ nje wanakungutwa na baridi, afadhari ya bongo though bongo umasikini umekithiri kuliko US Ila watu wanaishi na misaada ya TASAF 40k kwa mwezi maisha yanaenda

Ni hivi huwezi kufananisha maskini wa USA na wa Tz.
Na akili zako hazipo sawa unaposema kheri maskini wa Tz kulipo USA .
Tz kuna umaskini unaitwa destitute ambao US hakuna , acheni kudanganya watu.
Huko maskini ana uhakika wa free meal ambapo bongo hakuna .
Huko kuna shelter za homeless people wakati Tz hakuna.
Halafu elewa sio homeless people wote wa US ni maskini , kuna homeless people wengi huko wanalala kwenye recreational vans or kwenye homeless shelters.
Ki ufupi ni ujuha na upungufu wa maarifa kulinganisha maskini wa bongo na wa nchi kama US
 
Mzee bado haujanielewa lengo la mleta uzi sio kufananisha bongo na US umasikini upoje, lengo ni kuwaambia watu US life sio rahisi km wanavyofikiri kule pia kuna msoto

TatizO hautaki kuukubari ukweli anachosema km umeiangalia clip yake msione US maisha ni rahisi kuna watu wanakula msoto huko hali yao sio nzuri kimaisha kheri ya bongo utauza hata mahindi road utakamata mia mia maisha yatasonga kule inafika hatua wanalishwa hadi na Serikali jambo ambalo bongo halipo huku hata ukiumwa mahututi tunakuhesabia dakika ufe tukuzike hakuna Serikali itakusaidia matibabu easy easy hapa bongo,

Ila US hata ukiumwa mahututi unasaidiwa na Serikali yao unatibiwa unapona unaendelea kuishi bila wasi wasi wowote kwa hio US na bongo ni maji na mafuta hatufanani Ila kwa uafadhali hapo wewe utasema US kuna uafadhali Ila kwa mimi nakwambia afadhali ya bongo utajichanga upate hata ardhi ya 100k miguu 20×20 huko Mwanalumango ulime mihogo uuze maisha yasonge US hio haipo mzee

Kuna documentary moja niliangalia jamaa maisha yao ni kulala kwenye magari tu na wana zile free parking yaan hapo wanapaki wale ambao maisha yao ni magumu wanafanya kazi viwandani Ila hawana pa kulala kule nyumba sijui kujenga hujengi wewe inajenga Serikali inakuuzia naona mfumo wao ndio upo hivyo na ingekua hivyo bongo wengi wangekua wanalala nje tu kwenye madampo kule Pugu na kwengineko maana wasingeweza kulipa pesa nyingi za kulipia nyumba

Mfano mdogo kawaulize wale wa Magomeni Kota wameambiwa zile nyumba za Serikali walipie kiasi gani na wanalia kilio cha Samaki utaelewa nazungumzia nini
 
Ni hivi huwezi kufananisha maskini wa USA na wa Tz.
Na akili zako hazipo sawa unaposema kheri maskini wa Tz kulipo USA .
Tz kuna umaskini unaitwa destitute ambao US hakuna , acheni kudanganya watu.
Huko maskini ana uhakika wa free meal ambapo bongo hakuna .
Huko kuna shelter za homeless people wakati Tz hakuna.
Halafu elewa sio homeless people wote wa US ni maskini , kuna homeless people wengi huko wanalala kwenye recreational vans or kwenye homeless shelters.
Ki ufupi ni ujuha na upungufu wa maarifa kulinganisha maskini wa bongo na wa nchi kama US
Hao wanaolala kwenye RVs au trailer parks wanakuaga ni maskini pia... sema ndio ivo umaskini wa US unatofautiana na umaskini wa Tz... hata hapa bongo yenyewe kuna maskini wa aina tofaut. Kuna wale wa mjini na kijijini, hawawez kulingana.
 
Wabongo bana sasa hapo mnajifariji afadhali ya bongo kuliko USA!
 
Umaskini ni umaskini tu bablai. Hakuna afadhali...
Ndio umasikini hauna afadhali Ila unatofautiana na eneo, masikini wa US sio sawa na masikini wa bongo.. kuna bonge la gap mmoja ni developed na mwingine ni developing

Masikini wa Masaki/Oysterbay hauwezi mfanisha na masikini wa kwa Mto Gole au Mbagara kwa Dumba
 
Mimi nilichomuelewa ni kwamba watu wanavyoona kwenye luninga ndio wanahisi uhalisi but kinyume na hapo kuna maeneo huko US hata Tandale kwa Tumbo kuna afadhali, that's the truth utofauti uliopo ni kwamba wao wanasaidiwa na Serikali hata kutafutiwa kazi kupewa mikopo na kupewa hifadhi na chakula angalau huku bongo inabidi ukomae mwenyewe mwanzo mwisho hata ukiweza kuokota makopo na wire za copper au uchomoe vyuma vya reli ukauze upate mkate wako wa siku

Nimekuelezea maeneo baadhi tu Ila yapo maeneo mengi watu wanalala nje tu mengine ukihitaji nikutajie nitakutajia

Mleta mada amelenga kwa wale wanaohisi kwamba US maisha ni easy come easy go kumbe ni tofauti na uhalisia ulivyo kuna watu wanakula msoto huko US nenda huko Compton au New Orleans ndani ndani utaelewa huyo hapo ameonyesha LA Down Town yaan hapo ni sawa na Posta Mpya pale palivyo Ila watu wamepiga kambi na wanalala kwenye ⛺ nje wanakungutwa na baridi, afadhari ya bongo though bongo umasikini umekithiri kuliko US Ila watu wanaishi na misaada ya TASAF 40k kwa mwezi maisha yanaenda
Kizazi cha Nyerere kinachuki na maisha ya westerner.. kwanini mfano wako uwe USA tu?? Kuna Germany Sweden Norway The Netherlands Nk Swali unayo ndugu yako huko nnje au rafiki anaekula huo msoto??? Kwanini huji na story kama Nchi za Scandinavian ukifanya kazi kwa saa ni Króna 250 to 220 hii ni kazi ya kawaida tu na hii kwa bongo ni zaidi ya 50,000 kwa saa sio siku,badala yake upo kwenye kukandia tuu sehemu ambazo hata kufika hujafika wala Huna jamaa...hii ndio inasababisha wabongo wachache sana Westerner kama si wazanzibar kungekuwa hatujulikani kabisa,sehemu nyingi ukienda ukisema Mbongo wanakuuliza Zanziber???
 
Sawa mzee nimekuelewa Ila masikini ni masikini tu haijarishi anaishi wapi
 
Inawezekana ila masikini anaegonga meza kura mahanjumati huwezi mfananisha na yule hata ile kura yake mtihani...ukichunguza hao unaowaita masikini ni Alcoholic na Drugs users..bongo wanakimbiza kuku mitaani na kuiba viatu misikitini
 
Kama mwigu anaimiliki Kampuni ya Betting Nchi nzima,

Uwe na HAKIKA viongozi wetu hawatujali wananchi, hawawajali vijana Nchi hii.

Wangetujali,

Wangepiga MARUFUKU Betting na michezo ya kubahatisha,

Wangehamasisha na kuwekeza ktk KILIMO Ili kulisaidi Taifa.

Tutafika tu.
 
Back
Top Bottom