Kizazi cha Nyerere kinachuki na maisha ya westerner.. kwanini mfano wako uwe USA tu?? Kuna Germany Sweden Norway The Netherlands Nk Swali unayo ndugu yako huko nnje au rafiki anaekula huo msoto??? Kwanini huji na story kama Nchi za Scandinavian ukifanya kazi kwa saa ni Króna 250 to 220 hii ni kazi ya kawaida tu na hii kwa bongo ni zaidi ya 50,000 kwa saa sio siku,badala yake upo kwenye kukandia tuu sehemu ambazo hata kufika hujafika wala Huna jamaa...hii ndio inasababisha wabongo wachache sana Westerner kama si wazanzibar kungekuwa hatujulikani kabisa,sehemu nyingi ukienda ukisema Mbongo wanakuuliza Zanziber???