Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Hi guys,
Hope mmekuwa na mapumziko poa,
Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari.
Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi naye siye yule hasa ulikuwa unamuota every now and then?
This is serious, natamani kweli kujifunza, kuna majuto yoyote? Kuna utofauti mkubwa sana? Mko na furaha? Matarajio yako yamefikiwa? Are you thanking God for that? And why?
Please, Mr. Liverpool VPN and the Co, this ain't your cup of tea.
Niko nimekaa pale nasubiri miujiza na shuhuda zenu mbalimbali.