Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Haha..
I won't put blames on you I swear..!
Tunatumia usafiri wa vyombo vya moto kwa njia zote(nchi kavu, majini na Angani),huko kote tunajua kuna faida na hasara, hasara mojawapo kupoteza maisha, na hatuachi kuzitumia hizo njia abadani katika maisha yetu.

Chamani ni hivyo hivyo huwezi kupakimbia, wazazi wetu hawakukimbia hadi wakawa sababu ya sisi kuziona smartphone leo hii. Na wewe usiwanyime wanao kuja kuziona hizi smart phone, tena zitakuwa zishaboreshwa zaidi.
 
Hatimaye nimekuelewa vyema..!
Nitaufanyia kazi ushauri wako na nitakuja chukua mwingine ikibidi..!
 
Haha..!
We're going to make this work, shauri yako.!
Amen. Mimi sipo katika lile kundi la "usioe usioe", i believe in marriage. But mtazamo wangu ni tofauti na ule wa "dream girl/girl". Thats why nilisepa nilivogundua unatafuta kujua how wale wanaohisi hawajapata wenzi wa "dream" zao
 
Dream huwa haitimii bila kuipigania haswa, sasa kama hujapigania haswa basi ni wazi hakuna dream hapo😁😁😁 Mwanamke unapaswa kumpigania dream man wako na mwanaume pia vilevile umpiganie dream woman wake..... Ikitokea mmoja ndo anampigania mwingine huku mwingine amekaa tu basi aliekaa nae ana dream yake ingine hivyo atamdissappoint mwenzake, Wote mnapaswa kukutana mkiwa na dream moja thats why ni ngumu watu wa dream moja kukutana, Ambao bado hatujaingia kwa ndoa Tuombe Mungu maana ndo huweza kutukutanisha.
 
Hi guys,
Hope mmekuwa na mapumziko poa,

Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari,
Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi siye yule hasa ulikuwa unamuota every now and then.?

this is serious, natamani kweli kujifunza, kuna majuto yoyote?? Kuna utofauti mkubwa sana?? Mko na furaha..?? Matarajio yako yamefikiwa..? Are you thanking God for that..?? And why..??

Please, Mr. Liverpool VPN and the Co, this ain't your cup of tea..!

Niko nimekaa pale nasubiri miujiza na shuhuda zenu mbalimbali,
Binafsi sijaoa ila ninaweza kujibu kutokana na experience niliyoipata kwa wanandoa ikiwemo Wazazi wangu Mama yangu hakuwahi kupenda mzee wangu kabisa yeye alikuwa ana aina yake ya Mwanaume kajijengea kwenye akili yake lakini the end of the day alikubali kuolewa na mzee ingawa still alikuwa bado ajampenda lakini hakuwa na jinsi ilibidi tu akubali kutokana na nia kubwa aliyoonesha mzee wangu kwake baada ya kupita kipindi fulani kwenye ndoa Mama alijikuta anaanza kumpenda mzee na hadi sasa Wana miaka 20 ya ndoa yenye upendo na Amani. Kupitia ndoa yao kuna mambo nimeyachukua ambayo naona yatanifaa nami nikija kuoa niyaapply
 
Maisha ya ndoa hayana copy&paste kila mtu ana namna anaishi maisha yake na anayafurahia na kero nitakazozipata mimi siyo atakazozipata mwenzangu.

Nina ndoa ya miaka tisa with three kids namshukuru Mungu ungeniuliza hili swali siku ile ya ndoa ndugu wanashangilia nimeoa huku mimi kichwani nimejaa woga na mawazo hakika ningesema tofauti ila matarajio na ninachokiona ni tofauti,vijana oweni nakuhakikishieni oweni!
 
Amen. Mimi sipo katika lile kundi la "usioe usioe", i believe in marriage. But mtazamo wangu ni tofauti na ule wa "dream girl/girl". Thats why nilisepa nilivogundua unatafuta kujua how wale wanaohisi hawajapata wenzi wa "dream" zao
Ahsante,
Mtazamo wako ni upi!?
 
Back
Top Bottom