Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Dream huwa haitimii bila kuipigania haswa, sasa kama hujapigania haswa basi ni wazi hakuna dream hapo😁😁😁 Mwanamke unapaswa kumpigania dream man wako na mwanaume pia vilevile umpiganie dream woman wake..... Ikitokea mmoja ndo anampigania mwingine huku mwingine amekaa tu basi aliekaa nae ana dream yake ingine hivyo atamdissappoint mwenzake, Wote mnapaswa kukutana mkiwa na dream moja thats why ni ngumu watu wa dream moja kukutana, Ambao bado hatujaingia kwa ndoa Tuombe Mungu maana ndo huweza kutukutanisha.
Hapo pa kukipigania kisichokutaka ndiyo shida ya wengi.. While you're dreaming about her she is dreaming about some other guy who is dreaming about another chick..!!
Haya maisha haya..!
 
Hapo pa kukipigania kisichokutaka ndiyo shida ya wengi.. While you're dreaming about her she is dreaming about some other guy who is dreaming about another chick..!!
Haya maisha haya..!
Haha thats where a problem is, mfano mimi nina expirience sana na mahusiano ya wakati huu na still bado mdogo tu ila hamna kitu kinanitatiza kama likija suala la wapi au ni nani ni sahihi kwangu.... Sihitaji kufanya mistake tena round hii, Nimetuliza ball namuomba tu Mungu wangu.
 
Binafsi sijaoa ila ninaweza kujibu kutokana na experience niliyoipata kwa wanandoa ikiwemo Wazazi wangu Mama yangu hakuwahi kupenda mzee wangu kabisa yeye alikuwa ana aina yake ya Mwanaume kajijengea kwenye akili yake lakini the end of the day alikubali kuolewa na mzee ingawa still alikuwa bado ajampenda lakini hakuwa na jinsi ilibidi tu akubali kutokana na nia kubwa aliyoonesha mzee wangu kwake baada ya kupita kipindi fulani kwenye ndoa Mama alijikuta anaanza kumpenda mzee na hadi sasa Wana miaka 20 ya ndoa yenye upendo na Amani. Kupitia ndoa yao kuna mambo nimeyachukua ambayo naona yatanifaa nami nikija kuoa niyaapply
aaaw'...!
I like that, kuna mtu waweza mpenda sababu anaonesha nia and he is worth it,
Sasa ukute vice versa hiyo Ndoa itakuwa chungu sana..!
 
Ndoa zinafungiwa mbinguni, hapa duniani tunakamlisha tu.

Unaweza ukapambana sana kumpata flan lakin ukaja kuangukia kwingine, trust me that happens for a good reasons (divine purpose).

Tunayoyapenda vijana mengi ni illusion, siyo vitu halisia, lakini tunakuwa kama tumefungwa macho (mind) kwenye vitu flan ambavyo ikipita miaka kadhaa tu unakuja kuona ungepoteza pakubwa/kujisababishia shida.

Back to your questions: utachagua wewe kufurahia au kuhuzunika, wapo waliofurahi wapo waliohuzinika Tofauti yao ni jinsi walivyolikubali na kulipokea hilo. Kama unaingia hujakubali manake unakuwa huna upendo ndani, vurugu kila kukicha automatically unamfanya the other party naye anakuwa inferior mwishowe mnaharibu.

Lakini ukakubali ukapokea zawadi uliyoipata kwa mikono miwili ukaipenda na kuiheshimu, ukaiongoza/focusing on building better future together, unamfanya na mwenzako akuheshimu sana, akukubali sana, AND YOU WILL LIVE HAPPILY FOREVER!
Mbinguni ndo wapi huko?
 
Ahsante,
Mtazamo wako ni upi!?
Mtazamo wangu unaendana na law of attraction. Naamini kuwa kila mtu hua kuna aina ya mtu anayotaka kuspend lifetime nae. Lakini pia wengi wanakosea hapa kwa kuweka mtu specific kbsa, lets say mtu anasema kbsa mimi namtaka Carleen ndo awe mwenzi wangu.

Nothing is free hii dunia. So, kwangu mimi naamini kua you have to put up the qualities zooote unazotaka kwa mwenzi wako, then hapo ndo kazi inapoanzia. Kazi yenyewe ni moja, kuhakikisha kua mtu mwenye quality hizo zote akubali kuwa na mtu kama wewe. So hapo u have to work kuhakikisha wewe pia una qualities hizo zote, na hapo ndo unaeza kukutana na mtu mnaeendana. Na pia hata changamoto mkikutana nazo ni rahisi kuzitatua
 
Apate wapi ananidanganya kila siku eti kuna mtu kapatikana, namwambia mlete sasa anatoa macho tu mzabzab 😂
nimekwambia jana kuwa wamepatika wawili wewe unasema kuwa eti wanapumua tuu wkati hujawaona.
tena mmoja kasema tukutane pale johari rotana mrembo uje na swimming costume ili akuone ukiwa huna makeup 🤣🤣🤣🤣 wakati unaogelea. mwengine yeye kasema tukutane pale mlimani city tugonge pizza huku maongezi yakiendelea. sasa wewe wasema eti wikend una mitihani sijui ya cpa.
haya bwana wewe olewa na hayo ma mitihani.
 
Nimependa huu mrejesho..!
And be honest moyo hauna majuto kwa lolote lile..?
sijutii naifurahia sana familia yangu...japo siku tegemea kama itakuwa ya furaha kwani mimi kabla sijawa na mtoto nilikuwa na principle yangu kuwa sitaki kabisa mtoto wangu akose malezi ya wazazi wawili...na sikuwa napenda nione mwanangu analelewa na baba mwingine hali ya kuwa baba yake nipo....hivyo huyu baby mama alipo pata mimba nikawa na uhakika kuwa ni yangu nikasema liwalo na liwe siwezi kuacha mwanangu alelewe na baba mwingine na mimi baba yake ningalipo...nikaoa kishingo upande...the last is story naifurahia familia yangu ya baba, mama na mtoto mmoja...na tunajipanga kuongeza mtoto mwingine...​
 
Dream huwa haitimii bila kuipigania haswa, sasa kama hujapigania haswa basi ni wazi hakuna dream hapo[emoji16][emoji16][emoji16] Mwanamke unapaswa kumpigania dream man wako na mwanaume pia vilevile umpiganie dream woman wake..... Ikitokea mmoja ndo anampigania mwingine huku mwingine amekaa tu basi aliekaa nae ana dream yake ingine hivyo atamdissappoint mwenzake, Wote mnapaswa kukutana mkiwa na dream moja thats why ni ngumu watu wa dream moja kukutana, Ambao bado hatujaingia kwa ndoa Tuombe Mungu maana ndo huweza kutukutanisha.
Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom