Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Nimeandika kulingana na research niliyowahi kuifanya...

Kuna wakati nilikuwa na shauku ya kutaka kufahamu maswali kama haya uliyoyauliza, nikatenga muda kuchunguza baadhi ya ndoa za watu wa karibu...

Katika hizo ndoa kuna ambazo zimevunjika tena kwa ugomvi au kurogwna, kuna ambazo wanandoa wamefariki kwa kuleteana ngoma na wapo ambao wameamua kujifunza kupendana (conclusion yangu imetokea hapa)...
Ahsante kwa observation nzuri Watu8 naendelea kujifunza..!!
 
Ndoa zinafungiwa mbinguni, hapa duniani tunakamlisha tuu.
Unaweza ukapambana sana kumpata flan lakin ukaja kuangukia kwingine, trust me that happens for a good reasons (divine purpose).
Tunayoyapenda vijana mengi ni illusion, siyo vitu halisia, lakini tunakuwa kama tumefungwa macho (mind) kwenye vitu flan ambavyo ikipita miaka kadhaa tu unakuja kuona ungepoteza pakubwa/kujisababishia shida.

Back to your questions: utachagua wewe kufurahia au kuhuzunika, wapo waliofurahi wapo waliohuzinika Tofauti yao ni jinsi walivyolikubali na kulipokea hilo. Kama unaingia hujakubali manake unakuwa huna upendo ndani, vurugu kila kukicha automatically unamfanya the other party naye anakuwa inferior mwishowe mnaharibu. Lakini ukakubali ukapokea zawadi uliyoipata kwa mikono miwili ukaipenda na kuiheshimu, ukaiongoza/focusing on building better future together, unamfanya na mwenzako akuheshimu sana, akukubali sana, AND YOU WILL LIVE HAPPILY FOREVER!
Barikiwa na Bwana..!
Umenena vyema.!
 
Wanawake ambao nawaona ndo dream women wangu, wote nikiwatongoza wananikataa..

Nikitongoza nakubaliwa tu na wadada ambao siwapendi na nawachukulia poa.. Carleen
Na inaku disappoint sivyo.??
Umewaza hali ikiendelea hivyo ni nini utafanya.?
 
yap nimeongea kwa experience yangu sijawahi kupendwa nilipo penda...na hata mke wangu ninae ishi nae uwezi amini sikua namkubari kivile ila alipo nizalia...nikaona ipo haja ya mimi na yeye kuishi pamoja...tulianza kuishi pamoja na ni almost miaka 5 sasa tunaishi...kugombana kupo ni hali ya kawaida...but ni familia yangu na nimeizoea...kile kipindi cha likizo huwa chumba nakiona kikubwa sana kwakweli.​
Nimependa huu mrejesho..!
And be honest moyo hauna majuto kwa lolote lile..?
 
Ndoa zinafungiwa mbinguni, hapa duniani tunakamlisha tuu.
Unaweza ukapambana sana kumpata flan lakin ukaja kuangukia kwingine, trust me that happens for a good reasons (divine purpose).
Tunayoyapenda vijana mengi ni illusion, siyo vitu halisia, lakini tunakuwa kama tumefungwa macho (mind) kwenye vitu flan ambavyo ikipita miaka kadhaa tu unakuja kuona ungepoteza pakubwa/kujisababishia shida.

Back to your questions: utachagua wewe kufurahia au kuhuzunika, wapo waliofurahi wapo waliohuzinika Tofauti yao ni jinsi walivyolikubali na kulipokea hilo. Kama unaingia hujakubali manake unakuwa huna upendo ndani, vurugu kila kukicha automatically unamfanya the other party naye anakuwa inferior mwishowe mnaharibu. Lakini ukakubali ukapokea zawadi uliyoipata kwa mikono miwili ukaipenda na kuiheshimu, ukaiongoza/focusing on building better future together, unamfanya na mwenzako akuheshimu sana, akukubali sana, AND YOU WILL LIVE HAPPILY FOREVER!
Hiyo MBINGU ipo mkuu au ulikaririshwa tu?

Be serious
 
Screenshot_20210601-151656_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom