Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Unanitishia umekuwa Corona wewe 😁😁😂Kama huyo ulimshindwa mimi ndio utanipeleka polisi aiseee😆😆😆 ni zaidi ya vuruguuuuu
Vita ni fita muraaaaa…
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanitishia umekuwa Corona wewe 😁😁😂Kama huyo ulimshindwa mimi ndio utanipeleka polisi aiseee😆😆😆 ni zaidi ya vuruguuuuu
Vita ni fita muraaaaa…
Heeeeee yamekua hayoUnanitishia umekuwa Corona wewe 😁😁😂
Alwayz dreaming of you😍 hata huoni jamani!Hapo pa kukipigania kisichokutaka ndiyo shida ya wengi.. While you're dreaming about her she is dreaming about some other guy who is dreaming about another chick..!!
Haya maisha haya..!
Kisisri Siri tunajua huko ulipo wapo ... Kuna wale apology accepted access denied ..😋😋Heeeeee yamekua hayo
Ngoja bas nikue msweet😆😆😆nisikimbize wachumba
Ndoa ni kitegauchumi kwa mke na uwekezaji kwa mume...Kama nilivyosema ni kitegauchumi so wether ni cha kuuza bange au mirungi sio tatizo.Kwa upande wangu ninavyoona ndoa nyingi wote wanakuwa wanasettle tu labda mwanaume anaoa kwa sababu amemzalisha mwanamke na mwanamke anakubali kuolewa kwa sababu ya tayari nina mtoto nae na ana nia ya kunioa sasa nitafute nini kingine na ukiangalia huna kipato na nyumbani hakueleweki.Wanaume wanaangalia ndoa kama long term investment hii ikimaanisha sio kila mtu aliyeshika mimba bahati mbaya ataolewa na huyo mwanaume Kuna vigezo vingine ambavyo mbali na kutompenda mwanamke vitapelekea amuoe tu hivyohivyo.
Ndoa za aina hii zinadumu vizuri tu kwa upande mmoja kwa sababu love pekee sio kigezo cha mtu kudumu nae muda mrefu au mfupi kuna vitu vingine kama heshima,kujali akili ya maisha yale mambo yaletayo amani ya moyo.Mwanamke kwake ni rahisi sana kujifunza kupenda tena ni rahisi sana ikiwa tu unamheshimu,unamjali na kumtimizia mahitaji yake muhimu.Vile vile ni kiumbe ambaye ana uwezo wa kuishi na mtu hata kama hampendi kwa muda mrefu zaidi ikiwa tu anafaidika na anapata kitu kwa huyo mtu.
Hivyo ndio maana ndoa nyingi za siku hizi mwanaume ndoa ina week moja tayari anaendelea kutafuta mchepuko ambae ndio utakuwa love of his life anaanzisha kabisa na familia nae huku tayari ana mke ndani.Na unakuta wanawake walio kwenye ndoa hawawezi kumuacha mwanaume eti kisa ana mwanamke nje wao hawajali ili mradi unatunza familia yake ila ataondokua kama unampiga,una matusi wala humueshimu.
Ndoa za watu wanaopekndana haswa siku hizi ni chache sana.Wewe kama unaona anafaa kwa matumizi ya kifamilia enda nae huyo huyo mbeleni huko anakuja kuwa your best friend kabisa.
Kwanini unaona ni ngumu?Kujifunza kupenda nalo si jambo dogo Mtumishi..!!
😆😆😆😆mmhh kwa hapo sasa sijajua embu ngoja niangalie kama wapoKisisri Siri tunajua huko ulipo wapo ... Kuna wale apology accepted access denied ..😋😋
Nilichogundua kwako.Nakubali,
Ila hujajibu kile nimeuliza..!
Furaha ya kutosha hakuna majuto. Kila kitu kipo sawa.Hi guys,
Hope mmekuwa na mapumziko poa,
Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari.
Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi naye siye yule hasa ulikuwa unamuota every now and then?
This is serious, natamani kweli kujifunza, kuna majuto yoyote? Kuna utofauti mkubwa sana? Mko na furaha? Matarajio yako yamefikiwa? Are you thanking God for that? And why?
Please, Mr. Liverpool VPN and the Co, this ain't your cup of tea.
Niko nimekaa pale nasubiri miujiza na shuhuda zenu mbalimbali.
Hadi leo namshukuru sana Mungu kwa zawadi hii ambayo nisingeipata kama ningeendelea kujikakamua na the so called "dream girl". Ndipo hata sasa nikakumbuka kauli niliyoisikia siku moja katika mahubiri ya Ref Fr Dr Kamugisha kuwa "kupoteza ni kupata". Kwamba unapopoteza unatengeneza void ya kupata kingine, na kwa hakika nilipata kilicho bora kabisa!Hi guys,
Hope mmekuwa na mapumziko poa,
Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari.
Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi naye siye yule hasa ulikuwa unamuota every now and then?
This is serious, natamani kweli kujifunza, kuna majuto yoyote? Kuna utofauti mkubwa sana? Mko na furaha? Matarajio yako yamefikiwa? Are you thanking God for that? And why?
Please, Mr. Liverpool VPN and the Co, this ain't your cup of tea.
Niko nimekaa pale nasubiri miujiza na shuhuda zenu mbalimbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimekwambia jana kuwa wamepatika wawili wewe unasema kuwa eti wanapumua tuu wkati hujawaona.
tena mmoja kasema tukutane pale johari rotana mrembo uje na swimming costume ili akuone ukiwa huna makeup [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakati unaogelea. mwengine yeye kasema tukutane pale mlimani city tugonge pizza huku maongezi yakiendelea. sasa wewe wasema eti wikend una mitihani sijui ya cpa.
haya bwana wewe olewa na hayo ma mitihani.
absolutely....!!No worries for regressionView attachment 2283928
Siongelei illusion hapa Mtumishi, nazungumzia zile situation tayari kuna mtu hadi uliwahi kuwa naye ukaona this is the one ila mkaishia kupart ways..!Hakunaga dream wife wala dream husband..hizo ni crap illusions tuu people create in their mind..exists only in virtual imaginary world ...not in real world..yan unajiumbia ka mtu kako ambako hakapo kwenye dunia unayoishi..
Duniani tuna deal na real matters..watu halis sio hawa wa visualization...
Dream money is real... haya mengine nadhan ni ya kuachana nayo yajipambanie yenyewe
Umeelezea vyema sana, thank you so much girlie...!!Kwa upande wangu ninavyoona ndoa nyingi wote wanakuwa wanasettle tu labda mwanaume anaoa kwa sababu amemzalisha mwanamke na mwanamke anakubali kuolewa kwa sababu ya tayari nina mtoto nae na ana nia ya kunioa sasa nitafute nini kingine na ukiangalia huna kipato na nyumbani hakueleweki.Wanaume wanaangalia ndoa kama long term investment hii ikimaanisha sio kila mtu aliyeshika mimba bahati mbaya ataolewa na huyo mwanaume Kuna vigezo vingine ambavyo mbali na kutompenda mwanamke vitapelekea amuoe tu hivyohivyo.
Ndoa za aina hii zinadumu vizuri tu kwa upande mmoja kwa sababu love pekee sio kigezo cha mtu kudumu nae muda mrefu au mfupi kuna vitu vingine kama heshima,kujali akili ya maisha yale mambo yaletayo amani ya moyo.Mwanamke kwake ni rahisi sana kujifunza kupenda tena ni rahisi sana ikiwa tu unamheshimu,unamjali na kumtimizia mahitaji yake muhimu.Vile vile ni kiumbe ambaye ana uwezo wa kuishi na mtu hata kama hampendi kwa muda mrefu zaidi ikiwa tu anafaidika na anapata kitu kwa huyo mtu.
Hivyo ndio maana ndoa nyingi za siku hizi mwanaume ndoa ina week moja tayari anaendelea kutafuta mchepuko ambae ndio utakuwa love of his life anaanzisha kabisa na familia nae huku tayari ana mke ndani.Na unakuta wanawake walio kwenye ndoa hawawezi kumuacha mwanaume eti kisa ana mwanamke nje wao hawajali ili mradi unatunza familia yake ila ataondoka kama unampiga,una matusi wala humueshimu.
Ndoa za watu wanaopendana haswa siku hizi ni chache sana.Wewe kama unaona anafaa kwa matumizi ya kifamilia enda nae huyo huyo mbeleni huko anakuja kuwa your best friend kabisa.