Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

10june 2022 nilikua na kikao muhimu nilitegemea yes I Do.,..nikajibiwa tue just friends
The moment we share iz amaizing....wanaume huwaga tuna choice 1,2,3,4..Etc
Nilichoose mtu anae nipenda yeye...mtu ambae atanipenda hata nikiwa kwenye wheel chair ntajifunzaa kumpenda.....

Love iz love my people.....
Pole na Hongera kiukweli,
Unastahili vyote hivyo..!!
 
Back to your questions: utachagua wewe kufurahia au kuhuzunika, wapo waliofurahi wapo waliohuzinika Tofauti yao ni jinsi walivyolikubali na kulipokea hilo. Kama unaingia hujakubali manake unakuwa huna upendo ndani, vurugu kila kukicha automatically unamfanya the other party naye anakuwa inferior mwishowe mnaharibu.

Lakini ukakubali ukapokea zawadi uliyoipata kwa mikono miwili ukaipenda na kuiheshimu, ukaiongoza/focusing on building better future together, unamfanya na mwenzako akuheshimu sana, akukubali sana, AND YOU WILL LIVE HAPPILY FOREVER!
Umeongea kitu cha msingi sana mkuu UBARIKIWE
 
Nimeskia tu kwamba aliekuaga na qualities anazozihitaji akijisogeza hata kama yuko ndani ya ndoa inakuwa hatari. Sina evidence lakini nimeskia tu kwa mtu
Nachojua ni kuwa huwa hisia zina fade, hata ukikutana naye hupati butterflies in the belly kama zamani...!!
 
Kwa kweli
Sasa huyo tulipendana na mwisho nikaja kuoa mwingine
Haya nabaki kuwa nampenda au kumkumbuka ili iweje!?

Hata kama nilimpenda sasa kuendelea kuwa na mawasiliano nae eti siwezi kumsahau hell no
Awe mchepuko na mke nyumbani
What’s the point of getting married then?
Kama bado unampenda wa zamani funga ndoa nyingine au sio
Hili la kupenda bado mpenzi wa udogoni au shule au jirani yalipita na sasa una maisha tofauti

Mpaka unazeeka wapendwa watakuwa wanao tu mengine mbwembwe
That's the point mkuu
 
Ameen..
Leo mzab kaongea kama Mchungaji..!
tunataka wanawake wenye akili na wanaotaka kweli kuwa wake waolewe na mie kama mzabzab nafurahi sana kuona pale mwanamke anapo kuwa mke na kulinda ndoa yake. haya mambo ya wanaume kugegeda nje yapo tuu na wala hayawezi vunja ndoa. so to all ladies out there that really wana be wives, i salute u
 
tunataka wanawake wenye akili na wanaotaka kweli kuwa wake waolewe na mie kama mzabzab nafurahi sana kuona pale mwanamke anapo kuwa mke na kulinda ndoa yake. haya mambo ya wanaume kugegeda nje yapo tuu na wala hayawezi vunja ndoa. so to all ladies out there that really wana be wives, i salute u
I salute you too Mzab,
Kumbe you're this smart halafu huwa unajitoa tu ufahamu..!
 
Back
Top Bottom