Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Kwa upande wangu ninavyoona ndoa nyingi wote wanakuwa wanasettle tu labda mwanaume anaoa kwa sababu amemzalisha mwanamke na mwanamke anakubali kuolewa kwa sababu ya tayari nina mtoto nae na ana nia ya kunioa sasa nitafute nini kingine na ukiangalia huna kipato na nyumbani hakueleweki.Wanaume wanaangalia ndoa kama long term investment hii ikimaanisha sio kila mtu aliyeshika mimba bahati mbaya ataolewa na huyo mwanaume Kuna vigezo vingine ambavyo mbali na kutompenda mwanamke vitapelekea amuoe tu hivyohivyo.

Ndoa za aina hii zinadumu vizuri tu kwa upande mmoja kwa sababu love pekee sio kigezo cha mtu kudumu nae muda mrefu au mfupi kuna vitu vingine kama heshima,kujali akili ya maisha yale mambo yaletayo amani ya moyo.Mwanamke kwake ni rahisi sana kujifunza kupenda tena ni rahisi sana ikiwa tu unamheshimu,unamjali na kumtimizia mahitaji yake muhimu.Vile vile ni kiumbe ambaye ana uwezo wa kuishi na mtu hata kama hampendi kwa muda mrefu zaidi ikiwa tu anafaidika na anapata kitu kwa huyo mtu.

Hivyo ndio maana ndoa nyingi za siku hizi mwanaume ndoa ina week moja tayari anaendelea kutafuta mchepuko ambae ndio utakuwa love of his life anaanzisha kabisa na familia nae huku tayari ana mke ndani.Na unakuta wanawake walio kwenye ndoa hawawezi kumuacha mwanaume eti kisa ana mwanamke nje wao hawajali ili mradi unatunza familia yake ila ataondoka kama unampiga,una matusi wala humueshimu.

Ndoa za watu wanaopendana haswa siku hizi ni chache sana.Wewe kama unaona anafaa kwa matumizi ya kifamilia enda nae huyo huyo mbeleni huko anakuja kuwa your best friend kabisa.
 
Ndoa ni kitegauchumi kwa mke na uwekezaji kwa mume...Kama nilivyosema ni kitegauchumi so wether ni cha kuuza bange au mirungi sio tatizo.

Translation: Ndoa kwa wanawake ni maslahi as long as unaweza ku fulfil fantasies zake maishani atakubali kuolewa kuzaa na kukufanyia chochote tu as long as una fill in the brackets. This has nothing to do na upendo na kwa kuwa upendo ni variable katika mahusiano hauwezi kuwa constant.

Some get both love and treatment but some get treatment only. As a man im only sure of getting treated kama natimiza maslahi ya mwanamke but not sure of being loved as well.

For the current situation kwakuwa ni ngumu kupata upendo wa dhati watu wameamua kuwa na options unaoa mwanamke anayekupenda kisha you go for the treats kwa michepuko.
 
Kisisri Siri tunajua huko ulipo wapo ... Kuna wale apology accepted access denied ..๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†mmhh kwa hapo sasa sijajua embu ngoja niangalie kama wapo
 
Nakubali,
Ila hujajibu kile nimeuliza..!
Nilichogundua kwako.
Una mtu ulimpenda sana na ulijua huyu ndiye future husband but matarajio yako hayakutimia, jamaa amekula kona, umebaki na kumbukumbu na unahisi hutopata mwingine kama yeye.

Nikuhakikishie kuwa mawazo yetu si mawazo ya Mungu.

Huenda umenyimwa huyo upewe bora zaidi.

Hii ndio wengi huwa hawaamini baada ya kumpata mtu mpya bora zaidi.

Pili unaweza kuwa mgeni wa mahusiano/ ugeni maana yake ushamba flani[emoji28]
 
Furaha ya kutosha hakuna majuto. Kila kitu kipo sawa.
 
Hadi leo namshukuru sana Mungu kwa zawadi hii ambayo nisingeipata kama ningeendelea kujikakamua na the so called "dream girl". Ndipo hata sasa nikakumbuka kauli niliyoisikia siku moja katika mahubiri ya Ref Fr Dr Kamugisha kuwa "kupoteza ni kupata". Kwamba unapopoteza unatengeneza void ya kupata kingine, na kwa hakika nilipata kilicho bora kabisa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Siongelei illusion hapa Mtumishi, nazungumzia zile situation tayari kuna mtu hadi uliwahi kuwa naye ukaona this is the one ila mkaishia kupart ways..!
 
Umeelezea vyema sana, thank you so much girlie...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ