Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Ndoa ni kitegauchumi kwa mke na uwekezaji kwa mume...Kama nilivyosema ni kitegauchumi so wether ni cha kuuza bange au mirungi sio tatizo.

Translation: Ndoa kwa wanawake ni maslahi as long as unaweza ku fulfil fantasies zake maishani atakubali kuolewa kuzaa na kukufanyia chochote tu as long as una fill in the brackets. This has nothing to do na upendo na kwa kuwa upendo ni variable katika mahusiano hauwezi kuwa constant.

Some get both love and treatment but some get treatment only. As a man im only sure of getting treated kama natimiza maslahi ya mwanamke but not sure of being loved as well.

For the current situation kwakuwa ni ngumu kupata upendo wa dhati watu wameamua kuwa na options unaoa mwanamke anayekupenda kisha you go for the treats kwa michepuko.
treats kwa micheps tena ewe seminary boy.?
 
Nilichogundua kwako.
Una mtu ulimpenda sana na ulijua huyu ndiye future husband but matarajio yako hayakutimia, jamaa amekula kona, umebaki na kumbukumbu na unahisi hutopata mwingine kama yeye.

Nikuhakikishie kuwa mawazo yetu si mawazo ya Mungu.

Huenda umenyimwa huyo upewe bora zaidi.

Hii ndio wengi huwa hawaamini baada ya kumpata mtu mpya bora zaidi.

Pili unaweza kuwa mgeni wa mahusiano/ ugeni maana yake ushamba flani[emoji28]
Sweetheart,
Why drawing conclusions.?? Do you even know me..?
And how far are you sure this is personal...?
 
Hadi leo namshukuru sana Mungu kwa zawadi hii ambayo nisingeipata kama ningeendelea kujikakamua na the so called "dream girl". Ndipo hata sasa nikakumbuka kauli niliyoisikia siku moja katika mahubiri ya Ref Fr Dr Kamugisha kuwa "kupoteza ni kupata". Kwamba unapopoteza unatengeneza void ya kupata kingine, na kwa hakika nilipata kilicho bora kabisa!
Mungu ni mwema sana, napenda watu ambao wako proud na familia zao..!
 
How about missing living your passion of who you're. What was your dream life/career/job/professional na saivi uko unafanya Nini.
Uko focus mno kwenye maisha yako na ukiwa na big dream nadhani vitu vingi mno utapitwa kushoto.
Mana muda ama concetration yako kubwa itakuwa unawaza your dream to reach your goals. You've to be awake in night crunching numbers as you know everything is numbers game.
1-wealth is numbers game
2-love is the numbers game
3-health is the numbers game
4-success is the numbers game
5-friendship is the numbers game
6-to achieve your dream is the numbers game
6-to be happy is the numbers game
7- to be loved is the numbers game
8-to look msafi na smart is the numbers game.
Tell me/yourself Ni wapi utakapokuwa unacheza na numbers Sana ili positives numbers ziwe nyingi na zaidi ziwe kubwa in magnitude kuliko hasi.
Yaani hasi ziwe ndogo ndogo halafu nyingi mno Ila ukija kwa positive hata zikiwa chache Ila ziwe kuanzia Mara kumi ya zile hasi ili u win every game. And remember you can't win all the game above.
If you want to be multipurpose you won't be experts or masters of your craft. So you've to specialize since hao ndio wanaolipwa pesa mingi kuliko wale multitasking ingawa Hawa wanajisifugi kuwa kila sehemu Ni watalaamu nadhani Ni kwenye uongeaji.
Mana huwezi niambia kuwa mtu aliyejenga madaraja Mia mbili atafanana utalaamu huo na mtu aliyejenga daraja mbili,jengo la ghorofa tano,akatengeza tunnel mbili,akajenga reli miradi miwili,akajenga dam za umeme kumi.
Remember I fear a person who practiced one kick 10000times and I don't fear a man who practiced 10000kicks once.
Huyu Ni Bruce Lee.
Sema Sasa Ni juu yako kuchagua kipi kikufaacho Mana wapo wanaopenda wafaulu katika mapenzi ama mahusiano ,afya, success,wealth Ni juu yako kila mtu aanalo eneo ambalo anakuwa easily gravitated to.
Wengine wanaoana ili wazae watt tu basi.

Remember a part from our physical features that distinguish/separate us ,the way we think our attitude, perspective,mind set separate us a part. We always think that we think the same but we don't until we engage in the same events but everyone give his/her different outlook in such way we quarrel,attack each other due to our different way of thinking because us as human beings we hate to be wrong, we love to be appreciated,we look/search external validation so when someone disagree with us is like is attacking our beliefs so that we can figth to defend them.
 
Na inaku disappoint sivyo.??
Umewaza hali ikiendelea hivyo ni nini utafanya.?

Hali ikiendelea hivo, kati ya hao Wadada wanaonikubalia, Nitatafuta mdada mwenye uafadhali kimuonekano plus kitabia, then namuoa.

Nikisema nioe dream women ninaowataka, itanibidi nikubali kupendewa pesa, Na siwezi vumilia Kuwa kwenye mahusiano ambayo najua mwanamke ananipendea pesa.

Hao dream women wanaonikataa wangekua wanajua ninavowawazia mema rohoni mwangu, labda wasingenikataa, ila ndo ivo tena Kwa bahati mbaya mwonekano wangu hauwavutii dream women ninaowataka. Carleen
 
The Man/Woman of your dream is your ultimate romantic expectation, its gets blur and emotional chaotic when we don't meet what we foresee. Actually bad.
 
thank you so so much,
Umenifunza kitu kikubwa sana sana keisangora ubarikiwe..!
Wacha niendelee kujifanyia tathmini na kupambana ili kuzidi kuwa bora..!!
 
The Man/Woman of your dream is your ultimate romantic expectation, its gets blur and emotional chaotic when we don't meet what we foresee. Actually bad.
Sometimes expectations never met reality right.?
 
Hali ikiendelea hivo, kati ya hao Wadada wanaonikubalia, Nitatafuta mdada mwenye uafadhali kimuonekano plus kitabia, then namuoa.

Nikisema nioe dream women ninaowataka, itanibidi nikubali kupendewa pesa, Na siwezi vumilia Kuwa kwenye mahusiano ambayo najua mwanamke ananipendea pesa.

Hao dream women wanaonikataa wangekua wanajua ninavowawazia mema rohoni mwangu, labda wasingenikataa, ila ndo ivo tena Kwa bahati mbaya mwonekano wangu hauwavutii dream women ninaowataka. Carleen
Are you gravely sure it's about 'muonekano' Balqior ?!
 
10june 2022 nilikua na kikao muhimu nilitegemea yes I Do.,..nikajibiwa tue just friends
The moment we share iz amaizing....wanaume huwaga tuna choice 1,2,3,4..Etc
Nilichoose mtu anae nipenda yeye...mtu ambae atanipenda hata nikiwa kwenye wheel chair ntajifunzaa kumpenda.....

Love iz love my people.....
2 years later, aliyesema tuwe just friends anasema tatizo sikuwa mvumilivu hata yeye alikuwa ananipenda kweli 😂😂😂 anaumia sana why nilifanya maamuzi ya kumpotezea!

Hao ndio wanawake haki vile...
 
Back
Top Bottom