Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Wakuu mke ni faraja kubwa sana kwa mume wake. Nliishi na mke wangu sikujua sasa anaishi mbali na mm cha moto nakiona. Ondoa papuchi ila mke ana sehem kubwa sana katika maisha yetu wanaume coz papuchi unaweza kuipata kwa mwanamke yeyote.
Ukishamzoea wife inakuwa kipengele akiwa mbali, kila mtu ana mchango kwenye maisha yako. Usichukulie poa yani ila gap hutokea akiwa mbali.
 
treats kwa micheps tena ewe seminary boy.?
Yeah its because you pay for it, you get to fulfill your fantasies kwa mcheps. You get all the head turns kila unapotoka nae, wonderful sex, charms and ofcourse she handles you well in every ocassion. Ila one thing you must be sure of kwa mcheche ni kuwa when the money goes the honey wont stay.

For instance mi nakula bia na nafurahi siku nikiwa navibe maeneo niwe na ntoto nkali around caressing her. Tunakula vitu huku tunamake stories namchekesha, akikolea mara kakukiss kidogo kakuhug na smiles mradi raha tu she hitting all the bells and whistles. Damn, she end craving for you like craye you go eat her at maximum utility. Mind you most wives dont do such stuffs like this but hawajui how wonderful it makes us feel. Vita ya michepuko ni ngumu hadi nisham miss p wangu😂
 
Hali ikiendelea hivo, kati ya hao Wadada wanaonikubalia, Nitatafuta mdada mwenye uafadhali kimuonekano plus kitabia, then namuoa.

Nikisema nioe dream women ninaowataka, itanibidi nikubali kupendewa pesa, Na siwezi vumilia Kuwa kwenye mahusiano ambayo najua mwanamke ananipendea pesa.

Hao dream women wanaonikataa wangekua wanajua ninavowawazia mema rohoni mwangu, labda wasingenikataa, ila ndo ivo tena Kwa bahati mbaya mwonekano wangu hauwavutii dream women ninaowataka. Carleen
Ss km ushajua shida yako mwonekano si uboreshe??
Nani anapenda kitu kibaya?
We mwenyewe tu unapenda hao wazuri
 
Yeah its because you pay for it, you get to fulfill your fantasies kwa mcheps. You get all the head turns kila unapotoka nae, wonderful sex, charms and ofcourse she handles you well in every ocassion. Ila one thing you must be sure of kwa mcheche ni kuwa when the money goes the honey wont stay.

For instance mi nakula bia na nafurahi siku nikiwa navibe maeneo niwe na ntoto nkali around caressing her. Tunakula vitu huku tunamake stories namchekesha, akikolea mara kakukiss kidogo kakuhug na smiles mradi raha tu she hitting all the bells and whistles. Damn, she end craving for you like craye you go eat her at maximum utility. Mind you most wives dont do such stuffs like this but hawajui how wonderful it makes us feel. Vita ya michepuko ni ngumu hadi nisham miss p wangu😂
Muoe huyo mcheps awe na majukumu ya mke afu tuone kama ataendelea hizo tamthilia
 
Muoe huyo mcheps awe na majukumu ya mke afu tuone kama ataendelea hizo tamthilia
Ndio na kwakuwa hatuwezi kupata vyote unachagua mke anayekupenda na unakamata mchepuko wa kuku treat vizuri😂😂😂!!! Ni vizuri kuwa na TOYOTA moja na BMW kali sana kwenye yard yako home.
 
Ss km ushajua shida yako mwonekano si uboreshe??
Nani anapenda kitu kibaya?
We mwenyewe tu unapenda hao wazuri

Ntaboreshaje? Kama mdada ananiona sokwe, hata nikivaa suti, ataendelea kuniona sokwe nlievaa suti, mm kwenye vaa yangu nahakikisha tu i'm clean, usharo sina KateMiddleton
 
Dada zangu wa JF, inaniuma sana utakuta umempenda Mdada, ila moyo wa huyo mdada uko kwa mwanaume mwingine ambaye hamthamini huyo mdada, mdada Unamtongoza anakukataa anakuambia ana mchumba Na Wapo kwenye mahusiano Serious ya kuelekea ndoa, na ukichunguza ni kweli ana mchumba, ila mdada anasuka nywele za bei rahisi mno nyie mnaitaga Sijui twende kilioni, na smartphone yake ina crack za kutosha, Mwanaume hataki hata kuongozana na mdada in public, unajiuliza huyu mdada anaesema ana mchumba, ana mchumba wa aina gani?

Mbona huyu mwanaume anayependwa na mdada mzuri hivi, hajali kuwa simu ya mpenziwe ina cracks? Shida ni kuwa hisia zote huyo mdada kawekeza kwa huyo mwanaume, na huwezi mfumbua macho huyu mdada Kuwa mwanaume alie nae anamchukulia kama sehemu ya kukojolea, Na si kama life partner na mke mtarajiwa, kwa hofu ya kuonekana snitch, kwa hiyo huwa nasikitika ndani kwa ndani 😭😭😭 to yeye KateMiddleton Carleen financial services
 
Hi guys,

Hope mmekuwa na mapumziko poa,

Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari.

Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi naye siye yule hasa ulikuwa unamuota every now and then?

This is serious, natamani kweli kujifunza, kuna majuto yoyote? Kuna utofauti mkubwa sana? Mko na furaha? Matarajio yako yamefikiwa? Are you thanking God for that? And why?

Please, Mr. Liverpool VPN and the Co, this ain't your cup of tea.

Niko nimekaa pale nasubiri miujiza na shuhuda zenu mbalimbali.
Maisha ya ndoa Yana Raha Sana Kama ukipate mtu anayekupenda na kuyavumilia madhaifu yako
 
Dada zangu wa jf, inaniuma sana utakuta umempenda Mdada, ila moyo wa huyo mdada uko kwa mwanaume mwingine ambaye hamthamini huyo mdada, mdada Unamtongoza anakukataa anakuambia ana mchumba Na Wapo kwenye mahusiano Serious ya kuelekea ndoa, na ukichunguza ni kweli ana mchumba, ila mdada anasuka nywele za bei rahisi mno nyie mnaitaga Sijui twende kilioni, na smartphone yake ina crack za kutosha, Mwanaume hataki hata kuongozana na mdada in public, unajiuliza huyu mdada anaesema ana mchumba, ana mchumba wa aina gani? Mbona huyu mwanaume anayependwa na mdada mzuri hivi, hajali kuwa simu ya mpenziwe ina cracks? Shida ni kuwa hisia zote huyo mdada kawekeza kwa huyo mwanaume, na huwezi mfumbua macho huyu mdada Kuwa mwanaume alie nae anamchukulia kama sehemu ya kukojolea, Na si kama life partner na mke mtarajiwa, kwa hofu ya kuonekana snitch, kwa hiyo huwa nasikitika ndani kwa ndani 😭😭😭 to yeye KateMiddleton Carleen financial services
Achana nae, apambane na twende kilioni yake😏
 
Wakuu mke ni faraja kubwa sana kwa mume wake. Nliishi na mke wangu sikujua sasa anaishi mbali na mm cha moto nakiona. Ondoa papuchi ila mke ana sehem kubwa sana katika maisha yetu wanaume coz papuchi unaweza kuipata kwa mwanamke yeyote.
Hallelujah..!
Hakuna mtu aso muhimu mkuu ni vile tu twajitia ujuaji uso na maana ila ukweli tunaujua..!!
 
You must be true to yourself honey, hebu acha hizo ujue... My instincts tell me that you are in need of some good lovin totoo😍 asa ukijivunga sio sawa
Hahaa..
I knew it..!
Lazima uje tu hapa unibishie, how far are you sure Extro eti..??
 
Yeah its because you pay for it, you get to fulfill your fantasies kwa mcheps. You get all the head turns kila unapotoka nae, wonderful sex, charms and ofcourse she handles you well in every ocassion. Ila one thing you must be sure of kwa mcheche ni kuwa when the money goes the honey wont stay.

For instance mi nakula bia na nafurahi siku nikiwa navibe maeneo niwe na ntoto nkali around caressing her. Tunakula vitu huku tunamake stories namchekesha, akikolea mara kakukiss kidogo kakuhug na smiles mradi raha tu she hitting all the bells and whistles. Damn, she end craving for you like craye you go eat her at maximum utility. Mind you most wives dont do such stuffs like this but hawajui how wonderful it makes us feel. Vita ya michepuko ni ngumu hadi nisham miss p wangu😂
Men, Men..!
Huwa hamkosi tu sababu, na mkipata mke wa hivyo mtaanza kujidai kama hajatulia mnataka church girl anayejua kusifu na kuabudu pekee..!
Nyie kuruka ruka kama popcorn ndiyo asili yenu, msilisingizie jua mkinyauka..!
 
Im 100% sure, it's my sura na umbo langu ndo haliwavutii, what else..though mm sio ugly sana, i consider myself average Looking Carleen
Kwanza Balqior you have to treat yourself like you're the best thing in life..!! Love yourself kwanza kuliko yoyote yule ndipo utaweza penda na wengine..!
Achana na hiyo low self-esteem, wewe ni mtu bora sana sana it doesn't matter unaonekanaje kwa nje just be a good person inatosha sana usijali wengine wanafikiri nini kuhusu muonekano wako, kile unajifikira kuhusu wewe mwenyewe ndiyo muhimu zaidi..!
 
Ndio na kwakuwa hatuwezi kupata vyote unachagua mke anayekupenda na unakamata mchepuko wa kuku treat vizuri[emoji23][emoji23][emoji23]!!! Ni vizuri kuwa na TOYOTA moja na BMW kali sana kwenye yard yako home.
Ila nyie wanaume dah, kwamba uwe na gari mbili yard. Wakati huo mwanamke akiweka zake mbili itakua sawa?
 
Back
Top Bottom