Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ni kwamba nilimuomba Mungu nilisali na kufunga anipe mwanaume atakayekua Mume wangu atakayenipenda kwa dhati. Ndo akaniletea huyu mjukuu wa Ibrahimu japo hapo mwanzoni sikumuelewa itikadi zake. Kuna siku niliumwa ghafla hadi nikashindwa kuinuka kitandani ndo nilipouona upendo wake. Miaka 8 sasa Mungu amuwekee huyu mwanaume kwa ajili yangu na watoto wangu.Jamani,
Hongera sana dear..!
Mnazitoa wapi hizo baraka.?? Mbona wengine tunaishia kukutana na magumegume.??.
Extrovert akiona hapa ataongea jamani.!!
Haha.!
Ameen..!Ukweli ni kwamba nilimuomba Mungu nilisali na kufunga anipe mwanaume atakayekua Mume wangu atakayenipenda kwa dhati. Ndo akaniletea huyu mjukuu wa Ibrahimu japo hapo mwanzoni sikumuelewa itikadi zake. Kuna siku niliumwa ghafla hadi nikashindwa kuinuka kitandani ndo nilipouona upendo wake. Miaka 8 sasa Mungu amuwekee huyu mwanaume kwa ajili yangu na watoto wangu.
Tujaribu kuingia kwenye maombi labla atapatikana jaman 😆😆😆ptuuuuh'...!
Wanipitie huko..!
Mtu gani alikuwa hataki hata kwenda kupanga kujitegemea.??
Nyie jamani tunateseka kama wana wa Israel..!
Usiseme hivo maana hapa nimekaa ila sijielewei hata… nilimzoea tu yule kiumbe saiv naona kama maisha yamesimamaAmeen..!
Hongera sana my dear..
Mshukuru Mungu kwa ajili yake..!
Darlin njoo tufunge na kuomba mama yajayo yanafurahisha..!
Kwa kuanza tu nimeacha kila kitu nyuma nimebaki mwenyewe kama mwenyewe nia ilikuwa kujifunza kuwa na self happiness kwanza maana kutegemea furaha toka kwa watoto wa watu kumeni disappoint sana..!!
Mnajifariji ninyi mabinti.Tujaribu kuingia kwenye maombi labla atapatikana jaman [emoji38][emoji38][emoji38]
Yan hapa moyo ni kama umestuck umepigwa shot shida ni siwezi kusubiria katoto kamama kakue
Watoto wa mama hawakuagi, hao wanatakiwa watafute walowazidi umri ile saaana..!Tujaribu kuingia kwenye maombi labla atapatikana jaman 😆😆😆
Yan hapa moyo ni kama umestuck umepigwa shot shida ni siwezi kusubiria katoto kamama kakue
Uliniuliza swali sio?Watoto wa mama hawakuagi, hao wanatakiwa watafute walowazidi umri ile saaana..!
Wewe ambaye uko matured enough waishia kujionea miujiza tu..!!
Kwan tumekataa kupewa malori ya mkaa mkuu hapana hatujakataa…Mnajifariji ninyi mabinti.
Mungu atakupa unachostahili na sio unachokipenda wewe.
Huwezi kuwa mcharuko ukapewa mcha Mungu thubutu yako.
Utapewa wakufanana nawe mark my words...hakuna cha dream wife wala dream husband bali utaoewa lori lako la mkaa lililotumika kila nati
Hatuzungumzii usharoNtaboreshaje? Kama mdada ananiona sokwe, hata nikivaa suti, ataendelea kuniona sokwe nlievaa suti, mm kwenye vaa yangu nahakikisha tu i'm clean, usharo sina KateMiddleton
Haha ndiyo rafiki yangu, sahii ni kupambana na Mungu tunamng'ang'ania mpaka atujibu hakuna namna, tulowaona ndiyo sahihi wanatenda miujiza.!Usiseme hivo maana hapa nimekaa ila sijielewei hata… nilimzoea tu yule kiumbe saiv naona kama maisha yamesimama
Ila maana maisha lazma yaendelee ngoja nioge vizuri nirudi sokoni😆😆😆au unasemaje rafik yangu ila saiv Mungu lazma ahusike aiseee…
Nimecheka sana😆😆Watoto wa mama hawakuagi, hao wanatakiwa watafute walowazidi umri ile saaana..!
Wewe ambaye uko matured enough waishia kujionea miujiza tu..!!
Mbona unaogopa binti[emoji16]Usinichambue sana tafadhali,
Sahii tuko matured enough rafiki yangu, we can handle them acha DJ awalete..!Kwan tumekataa kupewa malori ya mkaa mkuu hapana hatujakataa…
Ila mpaka Mungu akikupatia hilo lori amejua kua utaweza kuendana nalo kwa kuvumiliana madhaifu yetu…
Ngoja nisubiri lori langu au nasema uongo Carleen ?😆
Mungu ni wa haki atakukutanisha na wa aina yako na aliyepiga goti kama wewe lkn mzuri au mbovu kama wewe[emoji2957]Haha ndiyo rafiki yangu, sahii ni kupambana na Mungu tunamng'ang'ania mpaka atujibu hakuna namna, tulowaona ndiyo sahihi wanatenda miujiza.!
Nina katangazo changu kaunge mkono tafadhaliSahii tuko matured enough rafiki yangu, we can handle them acha DJ awalete..!
Bas Mungu akikufanyia miujiza zaidi ya mimoja mingine utaielekezea huku😆😆😆maana maombi yako yanaweza yakawa konkiHaha ndiyo rafiki yangu, sahii ni kupambana na Mungu tunamng'ang'ania mpaka atujibu hakuna namna, tulowaona ndiyo sahihi wanatenda miujiza.!