Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Tunaendelea kukutana na mama’s boys😆😆😆😆😆😆nacheka kama mazuri vile
ptuuuuh'...!
Wanipitie huko..!
Mtu gani alikuwa hataki hata kwenda kupanga kujitegemea.??
Nyie jamani tunateseka kama wana wa Israel..!
 
Jamani,
Hongera sana dear..!
Mnazitoa wapi hizo baraka.?? Mbona wengine tunaishia kukutana na magumegume.??.
Extrovert akiona hapa ataongea jamani.!!
Haha.!
Ukweli ni kwamba nilimuomba Mungu nilisali na kufunga anipe mwanaume atakayekua Mume wangu atakayenipenda kwa dhati. Ndo akaniletea huyu mjukuu wa Ibrahimu japo hapo mwanzoni sikumuelewa itikadi zake. Kuna siku niliumwa ghafla hadi nikashindwa kuinuka kitandani ndo nilipouona upendo wake. Miaka 8 sasa Mungu amuwekee huyu mwanaume kwa ajili yangu na watoto wangu.
 
Ameen..!
Hongera sana my dear..
Mshukuru Mungu kwa ajili yake..!
Darlin njoo tufunge na kuomba mama yajayo yanafurahisha..!
Kwa kuanza tu nimeacha kila kitu nyuma nimebaki mwenyewe kama mwenyewe nia ilikuwa kujifunza kuwa na self happiness kwanza maana kutegemea furaha toka kwa watoto wa watu kumeni disappoint sana..!!
 
ptuuuuh'...!
Wanipitie huko..!
Mtu gani alikuwa hataki hata kwenda kupanga kujitegemea.??
Nyie jamani tunateseka kama wana wa Israel..!
Tujaribu kuingia kwenye maombi labla atapatikana jaman 😆😆😆
Yan hapa moyo ni kama umestuck umepigwa shot shida ni siwezi kusubiria katoto kamama kakue
 
Ameen..!
Hongera sana my dear..
Mshukuru Mungu kwa ajili yake..!
Darlin njoo tufunge na kuomba mama yajayo yanafurahisha..!
Kwa kuanza tu nimeacha kila kitu nyuma nimebaki mwenyewe kama mwenyewe nia ilikuwa kujifunza kuwa na self happiness kwanza maana kutegemea furaha toka kwa watoto wa watu kumeni disappoint sana..!!
Usiseme hivo maana hapa nimekaa ila sijielewei hata… nilimzoea tu yule kiumbe saiv naona kama maisha yamesimama
Ila maana maisha lazma yaendelee ngoja nioge vizuri nirudi sokoni😆😆😆au unasemaje rafik yangu ila saiv Mungu lazma ahusike aiseee…
 
Tujaribu kuingia kwenye maombi labla atapatikana jaman [emoji38][emoji38][emoji38]
Yan hapa moyo ni kama umestuck umepigwa shot shida ni siwezi kusubiria katoto kamama kakue
Mnajifariji ninyi mabinti.
Mungu atakupa unachostahili na sio unachokipenda wewe.

Huwezi kuwa mcharuko ukapewa mcha Mungu thubutu yako.

Utapewa wakufanana nawe mark my words...hakuna cha dream wife wala dream husband bali utaoewa lori lako la mkaa lililotumika kila nati
 
Tujaribu kuingia kwenye maombi labla atapatikana jaman 😆😆😆
Yan hapa moyo ni kama umestuck umepigwa shot shida ni siwezi kusubiria katoto kamama kakue
Watoto wa mama hawakuagi, hao wanatakiwa watafute walowazidi umri ile saaana..!
Wewe ambaye uko matured enough waishia kujionea miujiza tu..!!
 
Mnajifariji ninyi mabinti.
Mungu atakupa unachostahili na sio unachokipenda wewe.

Huwezi kuwa mcharuko ukapewa mcha Mungu thubutu yako.

Utapewa wakufanana nawe mark my words...hakuna cha dream wife wala dream husband bali utaoewa lori lako la mkaa lililotumika kila nati
Kwan tumekataa kupewa malori ya mkaa mkuu hapana hatujakataa…
Ila mpaka Mungu akikupatia hilo lori amejua kua utaweza kuendana nalo kwa kuvumiliana madhaifu yetu…
Ngoja nisubiri lori langu au nasema uongo Carleen ?😆
 
Ntaboreshaje? Kama mdada ananiona sokwe, hata nikivaa suti, ataendelea kuniona sokwe nlievaa suti, mm kwenye vaa yangu nahakikisha tu i'm clean, usharo sina KateMiddleton
Hatuzungumzii usharo

Ila have a classic look hata kama ni simple
Mbona we unapenda warembo?!
People invest kwny masuala ya muonekano
Ina faida zake
 
Usiseme hivo maana hapa nimekaa ila sijielewei hata… nilimzoea tu yule kiumbe saiv naona kama maisha yamesimama
Ila maana maisha lazma yaendelee ngoja nioge vizuri nirudi sokoni😆😆😆au unasemaje rafik yangu ila saiv Mungu lazma ahusike aiseee…
Haha ndiyo rafiki yangu, sahii ni kupambana na Mungu tunamng'ang'ania mpaka atujibu hakuna namna, tulowaona ndiyo sahihi wanatenda miujiza.!
 
Watoto wa mama hawakuagi, hao wanatakiwa watafute walowazidi umri ile saaana..!
Wewe ambaye uko matured enough waishia kujionea miujiza tu..!!
Nimecheka sana😆😆
Mimi kama miujiza nimeiona nusu niende kwa mwamposa😆
 
Kwan tumekataa kupewa malori ya mkaa mkuu hapana hatujakataa…
Ila mpaka Mungu akikupatia hilo lori amejua kua utaweza kuendana nalo kwa kuvumiliana madhaifu yetu…
Ngoja nisubiri lori langu au nasema uongo Carleen ?😆
Sahii tuko matured enough rafiki yangu, we can handle them acha DJ awalete..!
 
Haha ndiyo rafiki yangu, sahii ni kupambana na Mungu tunamng'ang'ania mpaka atujibu hakuna namna, tulowaona ndiyo sahihi wanatenda miujiza.!
Mungu ni wa haki atakukutanisha na wa aina yako na aliyepiga goti kama wewe lkn mzuri au mbovu kama wewe[emoji2957]
 
Back
Top Bottom