Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Gazeti ni gazeti dada, liwe la asubuhi, mchana ama usikuUsisahau na umri unatutupa mkono wengine soon tutakuwa 'gazeti la jioni'...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gazeti ni gazeti dada, liwe la asubuhi, mchana ama usikuUsisahau na umri unatutupa mkono wengine soon tutakuwa 'gazeti la jioni'...!
Mrembo, queen of my heart what's been up to you?? Nakumiss[emoji53][emoji53][emoji53]sio mwaka huu bana ulielewa vibaya me nlikua namaanisha mwakani dada yangu[emoji16]
Nifundishe mkuu, kwa kweli nakwama sana 😂Wanawake wengi hamjui kumtongoza mwanaume kijanja, kwa style hiyo yenu ya kusubiria mwanaume unaempenda aanze yeye kukutongoza, mtafika mwaka 2065 mkisema let's keep finding Depal
Anataka fimbo aseeHaha...
Anatuchora hapa kumbe she is already taken..!!
Liverpool VPN msikie huyuMaisha ya ndoa ni raha sana
Liverpool VPN msikie huyuMaisha ya ndoa ni raha sana
Hatari lakini salama🤣🤣
Ushawahi jiuliza kwann mara nyingi wanaume wa maana husband materials ma-handsome, Au wale Wanaume wenye pesa nyingi na wenye nyadhifa/vyeo Vikubwa serikalini, wake zao ni wanawake ambao sio pisi kali, tako hakuna, sura hakuna, Shepu hakuna.Nifundishe mkuu, kwa kweli nakwama sana 😂
Mimi na team yangu tunakwama sana
Hahaha naomba Lenie anisemeeUshawahi jiuliza kwann mara nyingi wanaume wa maana husband materials ma-handsome, Au wale Wanaume wenye pesa nyingi na wenye nyadhifa/vyeo Vikubwa serikalini, wake zao ni wanawake ambao sio pisi kali, tako hakuna, sura hakuna, Shepu hakuna.
Baada ya Wewe kumuonba Mungu ipasavyo, jifanyie honest assessment wewe kama wewe, kwenye viwango vya uzuri kwenye scale ya 1-10 wewe uko level gani Depal Carleen
Enhee baada ya kujifanyia assessment nikagundua nina 00.1 over 10, what's next..?Ushawahi jiuliza kwann mara nyingi wanaume wa maana husband materials ma-handsome, Au wale Wanaume wenye pesa nyingi na wenye nyadhifa/vyeo Vikubwa serikalini, wake zao ni wanawake ambao sio pisi kali, tako hakuna, sura hakuna, Shepu hakuna.
Baada ya Wewe kumuonba Mungu ipasavyo, jifanyie honest assessment wewe kama wewe, kwenye viwango vya uzuri kwenye scale ya 1-10 wewe uko level gani Depal Carleen