Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Wanawake wengi hamjui kumtongoza mwanaume kijanja, kwa style hiyo yenu ya kusubiria mwanaume unaempenda aanze yeye kukutongoza, mtafika mwaka 2065 mkisema let's keep finding Depal
tunaomba utupe hizo mbunu walaqhi'...
 
Wanawake wengi hamjui kumtongoza mwanaume kijanja, kwa style hiyo yenu ya kusubiria mwanaume unaempenda aanze yeye kukutongoza, mtafika mwaka 2065 mkisema let's keep finding Depal
Nifundishe mkuu, kwa kweli nakwama sana 😂

Mimi na team yangu tunakwama sana
 
Kuna jamaa humu anaitwa @Fastaa naamini yeye amekupa jibu smart zaidi
 
Tujifunze kutafuta tutakacho,kama watafutavyo wakitakacho.Mi mwenzenu sijui nikoje...nampenda zaidi niliyeanza kumpenda kuliko aliyeanza...ndo maana naishia kupigwa za USO.Sijawahi kuwa na haya kumwambia mtoto wa MTU nampenda...akiniona Malaya atajijua mwenyewe ili mradi nimepata pumziko.Nao ni watu kama sisi na wengine ni waoga hata kutongoza...ukimuanza unakuwa umemwokoa pia
 
Nifundishe mkuu, kwa kweli nakwama sana 😂

Mimi na team yangu tunakwama sana
Ushawahi jiuliza kwann mara nyingi wanaume wa maana husband materials ma-handsome, Au wale Wanaume wenye pesa nyingi na wenye nyadhifa/vyeo Vikubwa serikalini, wake zao ni wanawake ambao sio pisi kali, tako hakuna, sura hakuna, Shepu hakuna.

Baada ya Wewe kumuonba Mungu ipasavyo, jifanyie honest assessment wewe kama wewe, kwenye viwango vya uzuri kwenye scale ya 1-10 wewe uko level gani Depal Carleen
 
Hahaha naomba Lenie anisemee
 
Enhee baada ya kujifanyia assessment nikagundua nina 00.1 over 10, what's next..?
 
Back
Top Bottom