YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Tukue woteTujaribu kuingia kwenye maombi labla atapatikana jaman πππ
Yan hapa moyo ni kama umestuck umepigwa shot shida ni siwezi kusubiria katoto kamama kakue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukue woteTujaribu kuingia kwenye maombi labla atapatikana jaman πππ
Yan hapa moyo ni kama umestuck umepigwa shot shida ni siwezi kusubiria katoto kamama kakue
ππππHaha...
Anatuchora hapa kumbe she is already taken..!!
Wacha weee. Wacha weee.Ni muongo bana huyo mie am stili sachingiiiii and am singwengweeeeπ
Njoo kwangu sasa. I'm a nice guy by the way. πYani wewe bana unatokea vaap kama upepo wa kiangaziππ
Leo upo kama haupo me sikutaki bana
Oyaaaa weeeh oyaah weeeh.Queen of your heart na husemi
Mie nshaambia βI want to start with you 2023β tayar sasa
Labla tusubiri 2024 inshallah
Good.Kuna kitu kinaitwa kujifunza kupenda...
Yeah well said[emoji817]Kikubwa ni kuwa kwenye maisha haya huwa mtu hapati anachokitaka na hata kama utakipata unachokitaka basi jua kuwa hakitodumu....wengi huwa tunapata tunachostahili na mwisho huwa ni mzuri...tu
Kosa lako ni kuonesha unavutiwa nao sana. Wewe jifanye tu kama wafanyakazi wa benki wanavyozichukulia hela. Wanazizarau,ila wanajua ndio zinazowatumikisha kupata ridhiki ila hawazipi Ile tention saana.Wanawake ambao nawaona ndo dream women wangu, wote nikiwatongoza wananikataa.
Nikitongoza nakubaliwa tu na wadada ambao siwapendi na nawachukulia poa.. Carleen
π€£π€£π€£π€£ Ila Penseli una hekaheka
π€£π€£π€£π€£ Emu niwache kwan nimeiba mume wa mtu? Mbona hivo lakini?
π€£π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈWacha weee. Wacha weee.
Your results are done. Now ππ