Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Tujaribu kuingia kwenye maombi labla atapatikana jaman πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Yan hapa moyo ni kama umestuck umepigwa shot shida ni siwezi kusubiria katoto kamama kakue
Tukue wote
 
Queen of your heart na husemi
Mie nshaambia β€˜I want to start with you 2023’ tayar sasa
Labla tusubiri 2024 inshallah
Oyaaaa weeeh oyaah weeeh.

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
kwani mpaka umeoa/kuolewa na mtu si inamaanisha umempenda hata kama sio 'dream partner'

mbona unachinganya Carleen πŸ˜‚

au this is a girls' thing?
 
Hivi kwani na sisi wanaume huwa tuna wife of my dreams au huwa inatokea tu unajikuta ushakuwa mme wa mtu!



MAGUFULI4LIFE.
 
If you do not live in a dream, why would you want to live with a dream woman/ man?

Muandishi wa riwaya wa Ghana Ayi Kwei Armah aliandika riwaya inaitwa "The Beautyful Ones Are Not Yet Born".

Ukisubiri mkamilifu utakufa bila kuoa au kuolewa.

Pia, unachopenda leo sio lazima kiwe utakachopenda kesho.

Mimi nilitaka kupata mwanamke mzuri anayenipenda, nimepata wanaonipenda mpaka wakawa wanani stalk ikawa kero.

Yani at that point the dream turned into a nightmare πŸ™‚ πŸ™‚

So, how do you know that your dream is what you really need?
 
Wanawake ambao nawaona ndo dream women wangu, wote nikiwatongoza wananikataa.

Nikitongoza nakubaliwa tu na wadada ambao siwapendi na nawachukulia poa.. Carleen
Kosa lako ni kuonesha unavutiwa nao sana. Wewe jifanye tu kama wafanyakazi wa benki wanavyozichukulia hela. Wanazizarau,ila wanajua ndio zinazowatumikisha kupata ridhiki ila hawazipi Ile tention saana.

Akili ya mwanamke ilishaweka vema kitambo sana kuwa mtu hukipenda sana kitu asichokuwa na uwezo nacho.





MAGUFULI4LIFE.
 
Wacha weee. Wacha weee.

Your results are done. Now 😊😊
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Penseli ntakuchapa usinimention
 
Back
Top Bottom