Maisha yalivyo ni Bora ukibeba Mimba uzae tu kuliko kuitoa

Kuna shida gani??
Mungu atakuweka kwa ajili yake.
Mbona mimi baba yangu kaoa 45 na kafa miaka 98 years na kaona watu wameoa nakaona wajukuu na baadhi ya vitukuu sasa maisha hupangi wewe ni Mungu .
Zama zao sawa, zama hizi waaofika huko ni majaaliwa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kama no food no shelter kwanini ulifanya tendo linaloleta kiumbe duniani??
Abortion ni mauaji ya watoto tumboni.
Hakuna sababu yoyte utakayoleta ikahalalisha mauaji
 
Kama no food no shelter kwanini ulifanya tendo linaloleta kiumbe duniani??
Abortion ni mauaji ya watoto tumboni.
Hakuna sababu yoyte utakayoleta ikahalalisha mauaji
Kwanini wewe uliweka mbegu yako ili mtoto wawatu alaumike na walimwengu na ukamkimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…