We unaishi wapi?Kipindi cha nyuma kidogo ilikuwa ni kawaida sana kukuta vijana wamekaa vijiweni wanapiga soga asubuh hadi jioni,.
Lakini siku hizi mambo ni tofauti na zamani ni nadra kukuta vijana wamekaa kaa hovyo bila shughuli maalum.
Picha kwa hisani ya mtandao
View attachment 2587096
SureWako ndan waacheza Ps na wengine wanawatch series
Kipindi cha nyuma kidogo ilikuwa ni kawaida sana kukuta vijana wamekaa vijiweni wanapiga soga asubuh hadi jioni,.
Lakini siku hizi mambo ni tofauti na zamani ni nadra kukuta vijana wamekaa kaa hovyo bila shughuli maalum.
Picha kwa hisani ya mtandao
View attachment 2587096
Ni maeneo gani hayo?Kipindi cha nyuma kidogo ilikuwa ni kawaida sana kukuta vijana wamekaa vijiweni wanapiga soga asubuh hadi jioni,.
Lakini siku hizi mambo ni tofauti na zamani ni nadra kukuta vijana wamekaa kaa hovyo bila shughuli maalum.
Picha kwa hisani ya mtandao
View attachment 2587096
Cc Smart911Wako ndan waacheza Ps na wengine wanawatch series
Ila jamii ya watanzania ni mitambo ya umbea. Hata ukijifichaje watakujua tu unavyoishi. Ingependeza wakatumia huo weledi kutatua changamoto za maendeleo kwenye tafiti za elimu, kisayansi na kiuchumi.Wapo wengi tu kazi hakuna.
Wanajadili kila anayepita mbele yao utafikiri wamewazaa wao.
Wanaweza kupa details za kila mtu hapo mtaani kwao hatua kwa hatua.
Inasikitisha aisee, maana ndio wanaume hao ambao ndio "kichwa" cha familia... Yaani nikiwaza hivyo nasema wanawake/wake kazi tunayo na watoto wetu[emoji56]Sina takwimu sahihi ila asilimia kubwa sana ya vijana unakuta wamekaa haswa vijiwe vya bodaboda, huku dar kila baada ya mita chache unakuta kundi la vijana sio chini ya kumi wapo kijiweni, hapo ni stori za mipira, burudani, kamari na mapenzi!
Sijajua haswa ni mtindo gani wa maisha unajengeka kwenye taifa hili kupitia vijana .