Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
[emoji23][emoji23][emoji23]kama wa mtaani kwetu daah!!!Wapo wengi tu kazi hakuna.
Wanajadili kila anayepita mbele yao utafikiri wamewazaa wao.
Wanaweza kupa details za kila mtu hapo mtaani kwao hatua kwa hatua.
Kiufupi huku kwetu wanaume ndio wambea kuliko wanawake, yaani ukitaka umbea we mguse tuu kijana wa kiume, utashangaa!!!