Maisha yamefanya Vijana wanaokaa vijiweni kupotea

Maisha yamefanya Vijana wanaokaa vijiweni kupotea

Na wanakuaga serious wanaongea ila rohoni mmoja mmoja wanatamani wangekua huyo dogo wa 4m4 ambaye wanamsingizia[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tafrani tupuuu.
 
Inasikitisha aisee, maana ndio wanaume hao ambao ndio "kichwa" cha familia... Yaani nikiwaza hivyo nasema wanawake/wake kazi tunayo na watoto wetu[emoji56]
Yaani!
Mimi nilifikiria hawa ndio wazazi wa kesho, sijui hao watoto wao watakua ni wazazi wa namna gani?
Kichwani mwa kijana wa leo kumejaa maudhui ukibahatika kuwa sikiliza unaweza ukalia.

Tuendelee tu kuwalinda watoto na kuwafanya watambue wajibu wao kulingana na jinsia zao.
 
Wapo, muda wa mchana ukifika wanatawanyika kwenda walipopeleka mboga.
 
Back
Top Bottom