Maisha yamefanya Vijana wanaokaa vijiweni kupotea

Wapo wengi tu kazi hakuna.

Wanajadili kila anayepita mbele yao utafikiri wamewazaa wao.

Wanaweza kupa details za kila mtu hapo mtaani kwao hatua kwa hatua.
[emoji23][emoji23][emoji23]kama wa mtaani kwetu daah!!!

Kiufupi huku kwetu wanaume ndio wambea kuliko wanawake, yaani ukitaka umbea we mguse tuu kijana wa kiume, utashangaa!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna vijana wana matusi km hawa wa vijiweni? Tena matusi makubwa makubwa. Lol
 
Wapo wengi tu kazi hakuna.

Wanajadili kila anayepita mbele yao utafikiri wamewazaa wao.

Wanaweza kupa details za kila mtu hapo mtaani kwao hatua kwa hatua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejuajee sasa? Nilicheka kuna siku jirani ananipa taarifa zangu kuwa kapata huko nje, hadi nkajiuliza kuna watu wananifuatilia kiasi hiki. Uwiiiiih
 
Ila jamii ya watanzania ni mitambo ya umbea. Hata ukijifichaje watakujua tu unavyoishi. Ingependeza wakatumia huo weledi kutatua changamoto za maendeleo kwenye tafiti za elimu, kisayansi na kiuchumi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kama wa mtaani kwetu daah!!!

Kiufupi huku kwetu wanaume ndio wambea kuliko wanawake, yaani ukitaka umbea we mguse tuu kijana wa kiume, utashangaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi wambea ni wanaumee.
Wakiongozwa na boda boda. Khaaah
 
Mtaani kwangu wanaanza kunywa smart visungura saa mbili hadi usiku wa manane wanachangia kimoja hata watu saba naogopa wqnaweza kuambukizana magonjwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejuajee sasa? Nilicheka kuna siku jirani ananipa taarifa zangu kuwa kapata huko nje, hadi nkajiuliza kuna watu wananifuatilia kiasi hiki. Uwiiiiih
Mtu akipita tu unasikia aahh yule Mimi namfahamu anaanza kutiririka wee kwa stori zake za kutunga hapo akimaliza basi wenzake wanamsuport siku inakua imeingia, wanafarijiana hapo maisha yanakwenda.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umejuajee sasa? Nilicheka kuna siku jirani ananipa taarifa zangu kuwa kapata huko nje, hadi nkajiuliza kuna watu wananifuatilia kiasi hiki. Uwiiiiih
Walikua wanasemaje, au wameanza kudiss yule jamaa hatumuelewi😂😂😂
 
Mtu akipita tu unasikia aahh yule Mimi namfahamu anaanza kutiririka wee kwa stori zake za kutunga hapo akimaliza basi wenzake wanamsuport siku inakua imeingia, wanafarijiana hapo maisha yanakwenda.
Haswaaaah yaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walikua wanasemaje, au wameanza kudiss yule jamaa hatumuelewi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hilo walivukaa na kwenda mbali kabisaa, eti mie nadate na mkaka wa 4m 4, cha ajabu yule dogo sijawahi kuongea nae mie.

Alikua anakuja kwa jirani ni ticha kupigishwa pindi, kumbe waja wanajua dogo anakuja kunikaza mie. Uwiiiiiih

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilichekaa hadi basi. Ile siku.
 
Na wanakuaga serious wanaongea ila rohoni mmoja mmoja wanatamani wangekua huyo dogo wa 4m4 ambaye wanamsingizia😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…