Inasikitisha aisee, maana ndio wanaume hao ambao ndio "kichwa" cha familia... Yaani nikiwaza hivyo nasema wanawake/wake kazi tunayo na watoto wetu[emoji56]
Yaani!
Mimi nilifikiria hawa ndio wazazi wa kesho, sijui hao watoto wao watakua ni wazazi wa namna gani?
Kichwani mwa kijana wa leo kumejaa maudhui ukibahatika kuwa sikiliza unaweza ukalia.
Tuendelee tu kuwalinda watoto na kuwafanya watambue wajibu wao kulingana na jinsia zao.