Habari za Wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira? Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Mimi sio mlevi bosi. Wala hata huko baa sijawahi endaAndiko lako nimelielewa unateswa n upweke , pambana ukiweza kaa au shida baa au lala huko .
Swali gumu sana hili. GUMU SANA.Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Asilewe hadi kuzima. Atatemewa kohoziAndiko lako nimelielewa unateswa n upweke , pambana ukiweza kaa au shida baa au lala huko .
We unahis ukiwa wapi unakosa amani ,nimetumia tu baa kifupi unaonesha unapokua alone ndio unapata huo mda wa kuwaza , usiruhusu kua mwenyewe hakikisha umejichanganya kuanzia muda wa kulala mpka kwenye harakati ,kwa kifupi nilikumbana na hali hio baada ya kupoteza familia yangu ya awali nikawa mpweke sana hasa nikiwa nyumban ,nikachukua ndugu nikaishi nae kwani sikua na nia ya kuoa kwa kipindi hikoMimi sio mlevi bosi. Wala hata huko baa sijawahi enda
Yaani unaweza waza mambo mengi sana lakini kumbe tumezaliwa ili tufeSwali gumu sana hili. GUMU SANA.
Na ndio linanifanya nione sisi ni wanyama tu, tunaranda randa hapa duniani tukisubiri kufa.
Ni kweli, lakini bado hatokuwa na amani kwa asilimia zote. Kuwa na mke na watoto kuna jambo la kuwafikiria wao pia, vipi kama mtoto/watoto wakapatwa jambo fulani au mke. Bado ni mlolongo aiseeFanya uwe na familia mkuu inaweza kukupa amani kiasi fulani
Nilichogundua maisha huwa matamu pale unapopambana ili utimize jambo Fulani ila ukishapata Kila kitu baada ya muda huwa hamna furaha kwani Kila unachikitaka unakifanya bila jasho na akili hivyo halikupi attention uliokusudia, hii changamoto hata Mimi napitiaHabari za Wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira? Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Hii Hali ni ngumu sana. Moyo unauma na hujui shida ni nini. Naweza kujitahidi kuongea na wazazi na ndugu lakini maongezi yakiisha tu Hali inarudi pale pale hasa wikiendi hizi.Nilichogundua maisha huwa matamu pale unapopambana ili utimize jambo Fulani ila ukishapata Kila kitu baada ya muda huwa hamna furaha kwani Kila unachikitaka unakifanya bila jasho na akili hivyo halikupi attention uliokusudia, hii changamoto hata Mimi napitia
Sema nilichojifunza ni kwamba, usifanye furaha iwe lengo, wewe fanya vile vitu vinavyokuvutia....Yaani unaweza waza mambo mengi sana lakini kumbe tumezaliwa ili tufe
AiseePesa + marafiki unaoendana nao,pambana Kwa namna yoyote upate Raha, tunaishi mara moja Tu sasa wewe endelea kuhuzunika bila sababu wakati siku zako zinaisha!!
Umepataje kila kitu mkuu wakati Mengi mwenyewe kafa akiwa bado anatafuta!!Nilichogundua maisha huwa matamu pale unapopambana ili utimize jambo Fulani ila ukishapata Kila kitu baada ya muda huwa hamna furaha kwani Kila unachikitaka unakifanya bila jasho na akili hivyo halikupi attention uliokusudia, hii changamoto hata Mimi napitia
Kwanini ulie ndugu?Nimelia sana ππππππ
Ndo hivyo ishi Kwa Raha wewe toka usijifungie ndani,hata kama hunywi bia nenda sehemu zilizochangamka agiza hata mirinda nyeusi!!!Aisee