kevoomarcus
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 495
- 905
Mali , pesa ndo inaleta Kila kitu pesa n sabun ya roho pesa ni furaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sweet reggae ni tiba nzuriUngekuwa unakula kijiti plus kusikiliza mziki mzuri ungeishi a very very peaceful and happy life
Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?
Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.
Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Wewe ni mpweke.Hii Hali ni ngumu sana. Moyo unauma na hujui shida ni nini. Naweza kujitahidi kuongea na wazazi na ndugu lakini maongezi yakiisha tu Hali inarudi pale pale hasa wikiendi hizi.
Asante sana SnowhiteWewe ni mpweke.
Unahitaji watu
Unahitaji hobbie
Unahitaji challenges za kukupa energy ya kutokukaa tuu idle
Unahitaji new project
Unahitaji ndoto mpya za mafanikio
Unahitaji ushindani kwenye jambo unalofanya, badili kazi, badili team unayofanya nayo kazi.
Jifanyie tathmini utaona gap ilipo.
Kuoa na watoto sio suluhisho sana iwapo wewe mwenyewe hujui nini kinakukosesha amani unayoitafuta, utawatesa tu!
Pole sana. Nina imani tunapaswa kutafuta chano ha furaha na kisha tuane kuishi kwa amani.Yaani sio ww tu mkuu hata mm Kuna siku najikuta Sina Raha na sijui shida ni nini...
Amina, huenda kweli amani ikapatikanaUkiweza funga.. Na kuomba