Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

Pesa + marafiki unaoendana nao,pambana Kwa namna yoyote upate Raha, tunaishi mara moja Tu sasa wewe endelea kuhuzunika bila sababu wakati siku zako zinaisha!!
NIlichojifunza kuhusu pesa ni kwamba ,ukiona pesa kwako inakupa raha, bas jua kabisa wewe bado huna pesa. Wenye pesa wala pesa haiwapi raha, inawatimizia tu mahitaji yote wanayotaka ila wala haiwapi raha kiviiiile
 
Kwa wale tunao amini Mungu basi. Ishara moja wapo ambayo Divine power hutumia kuvuta attention yako, Sadness is one of them. Yan kama kuna namna ,kama umeshindwa kung'amua message ambazo Divine world inatuma kwako after a long time, njia moja wapo ni ya kukushurutisha ili kukubana kwenye angle utafute time ya ku track na ku trace why this?? Just like the condition u r in. Tafuta utulivu na u meditate to open the door.
NB
"Roho yangu ina huzuni kiasi cha kufa"
 
M
😂😂😂 Hili bado kabisa. Linahitaji muda na kabla ya kuoa ni muhimu niwe na furaha kwanza.
Mwenzako niliachwa mwaka 2011 Ila 2024 nikaoa tena nikaachwa baada ya mwezi Ila Mungu alivyo mwema Kuna dada anaitwa Sheillah Sheillah amethibitisha kuwa tayari kuweka sahihi mkataba Kati ya Mimi na yeye hivyo soon naacha kulala mwenyewe Kama maiti kwenye jeneza
 
Life is purposeless which makes it even much boring.

Pesa itakupa furaha ya muda mfupi tu kwa sababu utaweza kukidhi mahitaji ya hapa na pale, lakini hiyo sio furaha ya kweli.

Hata uwe na magari na majumba huwezi kupata furaha ya kweli, utakuwa unajifariji tu huku ukiyaangalia matofali na kuta za nyumba na kujipiga kifua kuwa wewe ni mwamba lakini hakuna lolote.

Ukipata pesa hakikisha unakula kuku, kitimoto za kutosha kisha gida bia mbili za nguvu.

Maisha bila BIA yana faida gani?

Kula BIA.

Cc: mshamba_mwingine Poor Brain
 
Hii kali
 
😂😂😂 Hatari sana. Sitawahi kugusa pombe wala sigala wala kuwa mlevi wa ngono. Maisha yanaweza kuwa zaidi ya hapo.
 
Mtafute awe mama was nyumbani!unaweza mfungulie kabiashara hapo hapo nyumbani awe bize kidogo!!

Utapata furaha kidogo japo baadae ikitokea utajipanga tena!!

Angalau uitwe baba na upate watoto unawakuza kwako mwenyewe mkuu hata wakuite "Baba"!!

Pesa pekee haitoshi Wala ajira Wala elimu!!

Hats make akizingua tayari una ndugu zako watoto!usiache hilo!
 
Back
Top Bottom