Furaha ni maamuzi, Being happy is choice 😀 Biblia inakwambia usiogope, wala usifadhaike (kuna mambo mengi ya kuogofya na kufadhaisha) Lakini wewe chagua kufurahi, Jaribu kujiuliza nini unapendelea
1.Vitabu?nature?Muziki?Filamu?
2.Tembelea maeneo tofauti nje ya unapokaa! Badilisha hata sehemu unayokula
3.Kutana na marafiki wapya (angalizo hakikisha una amani moyoni kabla hujaenda)
4.Kama kuna mtu umemkosea ni vyema kumuomba msamaha, Kama ulikosewa samehe pia ni kwaajili ya afya yako 😀
nakuacha na andiko
FURAHINI KATIKA BWANA SIKU ZOTE TENA NAWAAMBIA FURAHINI 😀😀😀😀Are you happy now?