- Thread starter
- #81
Wow! Bila shaka nahitaji hii code. Napaswa kujitambulishaje? Mfano; Mimi ni nani? Jibu lake lafaa kuwa namna gani?Hatua ya kwanza ni kutambua utambulisho wako, je, wewe ni nani?
Watu wengi wamenasa katika mtego sababu ya identity au vitambulisho vyao. Mfano ukijitambulisha kwa kutumia cheo, elimu, kabila, kazi, jinsia,umri n.k. Unajikuta unachojitambulisha sivyo ulivyo na unakuwa katika false identify au kutokujitambua.