Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

Binadamu ni kiumbe mwenye akili anayetafuta maana kwenye kila kitu.

Kukosa furaha ni sign ya kukosa purpose na malengo makubwa ya kimaisha. Kazi ya binadamu maishani sio kuishi tu, bali kuishi kwa kutafuta na kuhangaika kila kukicha kufikia malengo. Utafutaji wa hayo malengo kuna mpa sababu ya kuishi na kutumiza hayo malengo ndio kunampa furaha. Your purpose is to chase the dream, forever. So to give your life and existence a meaning.

Elon Musk ni tajiri mkubwa na goal na purpose ya maisha yake ni kucolonize Mars. It's a big goal and it sounds ridiculous lakini ndio uhalisia wa maisha in extreme examples.

Haya mambo mara nyingi huwatokea watu walioshi maisha ya shida na kuspend muda wao wote kutafuta nafuu ya maisha kwa kupata kazi. Wakiipata hiyo nafuu, wanafurahi kwa muda alafu wanabaki empty hawajui cha kufanya.

That's why wafanyakazi wengi wachumia tumbo ni walevi.

Kwakuwa wewe sio tajiri au successful kama Elon Musk, means hautohitaji a ridiculously giant purpose kama kwenda kuishi Mars au ku revolutionize space travel in order to achieve interstellar transportation hence turning human species into multiplanetary species.

Then kuwa na mke na watoto kutakupa purpose ya kuishi na kuondoa unyonge, either kwa wema au kwa ubaya.

Or else you need to join a Fight Club.
pwent hii
 
Purposeful life naona wengi mmeoongelea lakini purpose hutengeneza expectations na struggles zisizokwisha.

Kwa upande wangu naona watu ambao hawana purpose wala expectations kubwa katika maisha huku wakiwa hawa_fake maisha ili kulinda hadhi fulani. Watu kama hawa wakipata chakula, nyumba na watoto kwenda shule. Wanaridhika na kufurahia maisha

Sisi tunaotaka MORE kwenye maisha ndio huwa wapweke kwa kuendeshwa na kupata na kukosa
Kwa point yako ina dependa na the way mtu anavyojiona moyoni mwake na matamanio, mfano mimi kwa the way ulivyoongea hapo aisee sioni maana ya maisha , yani kuna maisha fulani nayapenda , ile situation ya ku struggle na kufikia malengo eg kuleta new things like akina elon musk aisee naona raha sana, it depends na aina ya mtu.
TUKO TOFAUTI.
 
Na hicho ndo nilichomaanisha, umeshaweka fullfillment katika vitu vyenye standard ya juu sana kiasi ni rahiso kukosa na kukufanya upoteze relaxation.

Ninavyokuambia life bila purpose haimaanishi Mimi ninaiishi maana siwezi. Ila mara nyingi tu nikiwaona watu wanaoona laki nne ni mshahara mkubwa sana. Maana atapanga chumba cha 50k , chumba na sebule uswazi. Gheto atalijaza vitu, uhakika wa kula na kujenga vikindu upo. Ataoa atazaa na kufurahia maisha

Sometimes nayatamani haya maisha sana ila siyawezi
 
Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira?

Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu.

Wakati mwingine nafikiria pengine nioe lakini akili inagombana na moyo. Ni nini hasa huleta furaha katika Maisha?
Katika maisha yako zingatia kwamba kuna afya na maradhi, kusifiwa na kukosolewa, kupewa pongezi na kuzomewa, kufaulu na kufeli, kupata na kukosa.

Hakuna chenye kudumu milele fedha zinakuja na kuondoka, fursa zinakuja na kuondoka,cheo kinakuja na kuondoka, umaarufu unakuja na kuondoka, mahusiano yanajengwa na kuvunjika,ajali zinatokea, umri unasogea, vitu vyenye thamani vinapoteza thamani kwa vitu vipya kuzalishwa, ujana unakuja na kuondoka, na mwisho kabisa sisi sote tutakufa.

Unapotambua kwamba hakuna kitu chochote chenye kudumu milele utaacha kujitesa sana kama umepata taarifa mbaya sana au nzuri sana.

Unaweza kuwa mwenye furaha sana lakini je furaha yako itadumu kwa muda gani ? Hata ukiwa kwenye huzuni jiulize je huzuni yako itadumu kwa muda gani?

Unaweza kupata taarifa mbaya fikra zako zikakwambia huu ni mwisho wa ulimwengu lakini sio kweli mara ngapi umepokea taarifa mbaya lakini baadaye ikaja kuwa taarifa nzuri tofauti na matarajio yako.

Mara ngapi umekosa nafasi au fursa sehemu lakini baadaye ikawa mwanzo wa fursa nzuri kuliko ya mwanzo. Unaweza kupata taarifa nzuri ukawa na furaha sana lakini baadaye inakuwa tofauti na matarajio yako na unaweza kupata taarifa mbaya lakini baadaye inakuwa taarifa nzuri sana.
 
Asante sana kwa ujumbe mzuri
 
Na hicho ndo nilichomaanisha, umeshaweka fullfillment katika vitu vyenye standard ya juu sana kiasi ni rahiso kukosa na kukufanya upoteze relaxation.

Ninavyokuambia life bila purpose haimaanishi Mimi ninaiishi maana siwezi. Ila mara nyingi tu nikiwaona watu wanaoona laki nne ni mshahara mkubwa sana. Maana atapanga chumba cha 50k , chumba na sebule uswazi. Gheto atalijaza vitu, uhakika wa kula na kujenga vikindu upo. Ataoa atazaa na kufurahia maisha

Sometimes nayatamani haya maisha sana ila siyawezi
kwanini ? au na wewe fullfillment ya vitu kwenye standard ya juu ndio malengo yako?😅
 
Fanya uwe na familia mkuu inaweza kukupa amani kiasi fulani
Kuwa na familia inatakiwa moyo, maana ukiwaza jinsi modemu wetu walivyo wachawi na makahaba kiasi ukitoka tu kwenda kazini anakuja muuza maji au mpaka rangi za kucha anakuchapia mkeo vile atakavyo. Mwisho wa siku mtoto anazaliwa anakuwa hataki shule, anataka ashinde madrasa tu na haoni lolote mbele yake zaidi ya shule, yeye anawaza kushinda madrasa tu na kuimba kaswida harusini mshahara sahani ya pilau na soda moja, kumbe mtoto ana damu nyingine kabisa na wewe. Ukiwaza haya, suala la kuoa unaona ni changamoto sana maishani.
 
kwanini ? au na wewe fullfillment ya vitu kwenye standard ya juu ndio malengo yako?😅
Kiasi Mkuu, kuna baadhi natamani niyaache ila nikiacha najikuta hata usingizi nakosa. Huwa naamini ni maono ambayo Mungu akishakupatia pamoja na uwezo linakuwa ni deni
 
Falsafa ya Stoicism inatufunza kwamba kile ambacho huna uwezo nacho kiache, tenda wema siku zote. Na Fanya linalokupasa (Responsibility), hiyo ndio furaha kuu.
Always kumbuka kuwa akili ndio gereza au pepo yako. Mawazo yanaweza kukufanya ukaishi aina fulani ya maisha ambayo si kweli mawazo ndio yanayoleta depression, lakini mawazo hayohayo yanaweza kukupa furaha japo si ya kudumu.
Train your mind right, Kama Bruce Lee alivyosema - “Empty your mind, be formless. Shapeless, like water. If you put water into a cup, it becomes the cup. You put water into a bottle and it becomes the bottle. You put it in a teapot, it becomes the teapot. Now, water can flow or it can crash. Be water, my friend.”
 
Kiasi Mkuu, kuna baadhi natamani niyaache ila nikiacha najikuta hata usingizi nakosa. Huwa naamini ni maono ambayo Mungu akishakupatia pamoja na uwezo linakuwa ni deni
Ni kweli mkuu, nahisi pia huwa ni kwa watu wachache wanakuwa hivyo.
 
Back
Top Bottom