Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

Mkuu, nimeku-PM naona ujumbe unagoma kuja kwako naomba ni PM ww kuna issue nataka tuijenge.
 
Unaoina raha hiyo?

Ia m in Peace.

Islam = Peace.

Wewe unangoja mpaka ufe ndiyo uombewe na wengine kuingia kwenye Uislam, inakuwa too late. Amka.
Amka wewe. Bado ni mtumwa, umelala ndio maana unahisi imani yako ni bora kuliko za wengine
 
Yesu pekee ndo furaha ya maisha. Ikiwa furaha yako itategemea watu ah mali, muda si mrefu utakuwa kwenye Majuto makubwa. Mtegemee Mungu pekee
 
SWALI KUBWA SANA
 
Hapa kuna neno la ukweli mtupu
 
Furaha ya maisha ni mambo matatu
1.kumpata mke/mume mwema, hakupi stress anakuheshim, anakujal, anajua hisia zako anakufariji nk
2. Nyumba yenye wasaa, yaan uwe na nyumba nzuri,kubwa yenye nafasi ya kutosha, wageni wakifika kwako huwazi wapi utawalaza, huwazi vyumba vya watoto, chumba chenu kipo vizur mmejiachia na mwenza, inshort uhuru wa faragha upo, hapo umeula,.
3. Kipando,, chombo cha usafiri mfano gari,au chochote ambacho kinaweza kukufikisha sehem kwa wakati unao taka unachokimiliki wewe,

Ase ukivitapa hivi umeula.
Ziada ya gapo
4.tosheka na ulicho nacho acha kujilinganisha na watu wa rika lako uta panic bro, subir muda wako utafika tu ila usiache kupambana
5.ishi maisha yako, stick na jambo moja
6.Imani, Amini, mambo yako yaegemeze kwa Mungu , acha dhambi, utakuwa na furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…