assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
hali ni ileile tu hakuna kilichobadirika maana kama mfanya kazi mshahara anapata kama kawaida kinachobadirika hapo labda alikuwa mwizi au mla rushwa hao ndio wengi wanalalamika lakini sisi tuliozoea kula vya kuchinja vya kunyonga hatuviwezi yaani maisha tambarare tu kama kawaida
Na hapo Nzige hawajaja, na wakija bila ya shaka wataanza na Nyanya.Mtaani kasimama maza mmoja nyanya 1 kakaza 500, kitunguu Hali mbaya, unga nackia haugusiki, sukari usiseme, soya 2800 aisee Ni danger
huna lolote nyie ndiyo wezi wa mali za uma mlizoea kula rushwa na kuiba mishahara miwilimiwili ndiyo mnaoteseka kama unafanya kazi na unalipwa mshahara kwanini ulalamike hali ngumu na kila mwezi unaenda kukinga acheni ufala fanyeni kaziHizi ni akili za fukara sio masikini. Na pili sijui kama hata shule ulienda, kama ulienda ulienda kukua mpk kidato cha nne ulipo feli ukaanza kuganga umasikini.
Kuna uhusiano mkubwa wa pesa kuwa katika mzunguko na kilio kilichopo mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
huna lolote nyie ndiyo wezi wa mali za uma mlizoea kula rushwa na kuiba mishahara miwilimiwili ndiyo mnaoteseka kama unafanya kazi na unalipwa mshahara kwanini ulalamike hali ngumu na kila mwezi unaenda kukinga acheni ufala fanyeni kazi
Achana naye mkuu,kuna watu wanaishi kama ndege hawana plani ya aina yeyote.Hizi ni akili za fukara sio masikini. Na pili sijui kama hata shule ulienda, kama ulienda ulienda kukua mpk kidato cha nne ulipo feli ukaanza kuganga umasikini.
Kuna uhusiano mkubwa wa pesa kuwa katika mzunguko na kilio kilichopo mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kutaja mafisadi ni ili kuhadaa umma na ndio maana mijadala huru na vyombo vya habari haviruhisiwi kuwa huru, kwani vikiwa huru watu wakatoa maoni yao, itamuudhi Mungu wa Tanzania kwani yeye ndio sababu hasa ya ugumu huu wa maisha.
Kama kuna ongezeko la information na kipato kikabaki vile vile lazima kutakuwa na mabadiliko. Let's say mwaka 2015 bei ya kilo ya unga ilikuwa 800/ na 4 yrs hakuna salary incriminate na leo hii kilo ile ile ya unga imekuwa Tshs 1800/, utasemaje hakuna kilichobadilika? Kwa hiyo miaka 4 bidhaa na huduma mbalimbali zimeongezeka bei huku kipato kikabaki vile vile, lazima maisha yawe magumu.hali ni ileile tu hakuna kilichobadirika maana kama mfanya kazi mshahara anapata kama kawaida kinachobadirika hapo labda alikuwa mwizi au mla rushwa hao ndio wengi wanalalamika lakini sisi tuliozoea kula vya kuchinja vya kunyonga hatuviwezi yaani maisha tambarare tu kama kawaida