mwakijembe
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 1,662
- 2,325
Labda ww ni mgeni nchi hii, angalia mkutano wowote wa hadhara nani anatajwa kwa mbwembwe, fuatilia bunge utasikia jinsi huyo Mungu anavyotajwa.
assadsyria3,
Acha Watanzania wajifunze kwa vitendo somo la uraia. Akili zikiwakaa sawa, watajua namna ya kupata viongozi bora!
Pesa ipo nyingi tu, tena hata wengine wanaichezea.
Juzi nilisikia kwenye redio moja eti kuna kampuni moja huko Dar imeitisha Watu wapigwe picha wapewe elfu tano nasikia Mji mzima wakahamia hapo...sasa uliona wapi pesa inatolewa kimchezo hivyo kama sio pesa kuchezewa?
Na ili iwe fundisho hii Kampuni ilazimishwe izunguke mikoa yote ili isionekane kama Dar inapendelewa.
Achilia mbali hao wanaokinga mshahara, unawazungumziaje waliojiajiri na baadi walio sector binafsi?huna lolote nyie ndiyo wezi wa mali za uma mlizoea kula rushwa na kuiba mishahara miwilimiwili ndiyo mnaoteseka kama unafanya kazi na unalipwa mshahara kwanini ulalamike hali ngumu na kila mwezi unaenda kukinga acheni ufala fanyeni kazi
hali ni ileile tu hakuna kilichobadirika maana kama mfanya kazi mshahara anapata kama kawaida kinachobadirika hapo labda alikuwa mwizi au mla rushwa hao ndio wengi wanalalamika lakini sisi tuliozoea kula vya kuchinja vya kunyonga hatuviwezi yaani maisha tambarare tu kama kawaida
feyzal,
Sio kweli mkuu kuwa wafanyakazi wa serikali hawana ugumu! Naishia hapa
na ndiyo maana mnatakiwa kutolalamika hovyo fanyeni kazi kutumia hivyo vichwa vyenu
Pesa ipo nyingi tu, tena hata wengine wanaichezea.
Juzi nilisikia kwenye redio moja eti kuna kampuni moja huko Dar imeitisha Watu wapigwe picha wapewe elfu tano nasikia Mji mzima wakahamia hapo...sasa uliona wapi pesa inatolewa kimchezo hivyo kama sio pesa kuchezewa?
Na ili iwe fundisho hii Kampuni ilazimishwe izunguke mikoa yote ili isionekane kama Dar inapendelewa.
huna lolote nyie ndiyo wezi wa mali za uma mlizoea kula rushwa na kuiba mishahara miwilimiwili ndiyo mnaoteseka kama unafanya kazi na unalipwa mshahara kwanini ulalamike hali ngumu na kila mwezi unaenda kukinga acheni ufala fanyeni kazi
Kama kuna ongezeko la information na kipato kikabaki vile vile lazima kutakuwa na mabadiliko. Let's say mwaka 2015 bei ya kilo ya unga ilikuwa 800/ na 4 yrs hakuna salary incriminate na leo hii kilo ile ile ya unga imekuwa Tshs 1800/, utasemaje hakuna kilichobadilika? Kwa hiyo miaka 4 bidhaa na huduma mbalimbali zimeongezeka bei huku kipato kikabaki vile vile, lazima maisha yawe magumu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengi wana fikra za kimasikini huwezi ukasema maisha mugumu kwenye nchi yenye soko la watu zaidi ya milioni 55 na ardhi ya kilimo ya kutosha tena yenye rutuba na upatikanaji wake ni rahisi. Tatizo watu wengi mnataka mpate pesa bila kujishughulisha. Watu hawataki kubadilika kutokana na wakati. Watu wanatoka Kenya kuja kulima miti ya mbao na parachichi Tanzania sisi tupo tu tunasema maisha magumu. Kwa sasa mnasema nyanya moja shilingi 500, kupanga ni kuchagua wewe uliwekeza kununua iPhone Mimi niliwekeza kwenye kilimo cha nyanya matokeo yake ndiyo hayo, hivyo hutakiwa kulalamikia bei ya nyanya nakusema maisha magumu.
na ndiyo maana mnatakiwa kutolalamika hovyo fanyeni kazi kutumia hivyo vichwa vyenu
Sasa kama watu hawana hela watanunua na nini au utakuwa unazila mwenyewe na familia yako?Watanzania wengi wana fikra za kimasikini huwezi ukasema maisha mugumu kwenye nchi yenye soko la watu zaidi ya milioni 55 na ardhi ya kilimo ya kutosha tena yenye rutuba na upatikanaji wake ni rahisi. Tatizo watu wengi mnataka mpate pesa bila kujishughulisha. Watu hawataki kubadilika kutokana na wakati. Watu wanatoka Kenya kuja kulima miti ya mbao na parachichi Tanzania sisi tupo tu tunasema maisha magumu. Kwa sasa mnasema nyanya moja shilingi 500, kupanga ni kuchagua wewe uliwekeza kununua iPhone Mimi niliwekeza kwenye kilimo cha nyanya matokeo yake ndiyo hayo, hivyo hutakiwa kulalamikia bei ya nyanya nakusema maisha magumu.