Maisha yamekuwa magumu sana awamu hii

Watanzania wengi wana fikra za kimasikini huwezi ukasema maisha mugumu kwenye nchi yenye soko la watu zaidi ya milioni 55 na ardhi ya kilimo ya kutosha tena yenye rutuba na upatikanaji wake ni rahisi. Tatizo watu wengi mnataka mpate pesa bila kujishughulisha. Watu hawataki kubadilika kutokana na wakati. Watu wanatoka Kenya kuja kulima miti ya mbao na parachichi Tanzania sisi tupo tu tunasema maisha magumu. Kwa sasa mnasema nyanya moja shilingi 500, kupanga ni kuchagua wewe uliwekeza kununua iPhone Mimi niliwekeza kwenye kilimo cha nyanya matokeo yake ndiyo hayo, hivyo hutakiwa kulalamikia bei ya nyanya nakusema maisha magumu.
 
Umejiuliza hizo picha wanazopigwa zinapelekwa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
huna lolote nyie ndiyo wezi wa mali za uma mlizoea kula rushwa na kuiba mishahara miwilimiwili ndiyo mnaoteseka kama unafanya kazi na unalipwa mshahara kwanini ulalamike hali ngumu na kila mwezi unaenda kukinga acheni ufala fanyeni kazi
Achilia mbali hao wanaokinga mshahara, unawazungumziaje waliojiajiri na baadi walio sector binafsi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hivi wajua kichwa si kwa ajili ya kufugia nywere?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Kampuni ilikuwa inasajiri wapiga kura feki(Japo sina ushahidi).
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzazi wako ana hasara sana. Sidhani kama wawesa kuelewa hili, hata ukibisha/tukana ni haki yako pia
huna lolote nyie ndiyo wezi wa mali za uma mlizoea kula rushwa na kuiba mishahara miwilimiwili ndiyo mnaoteseka kama unafanya kazi na unalipwa mshahara kwanini ulalamike hali ngumu na kila mwezi unaenda kukinga acheni ufala fanyeni kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unapoteza nguvu zako bure kwa huyo boya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaelewa maana ya maisha magumu? Nikisema una akili kama za ccm ni tusi au sifa kwako?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani huu wimbo tulianza kuuimba toka awamu hii inaanza na tunamaliza awamu na wimbo huu
Na tusipokuwa wamoja amin tutauimba huu wimbo awamu nyingine tena
 
Sasa kama watu hawana hela watanunua na nini au utakuwa unazila mwenyewe na familia yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…