Basi nakutaftia Mchumba wa kimaasai, sawa?Bado nmekua mwoga sana japo inanibdi tu coz nmesha anza kupata pressure za wazazi wananishauri kuishi kisela ni hatari kwa afya
Sent using Jamii Forums mobile app
Usicheke kama zuzu
Basi nakutaftia Mchumba wa kimaasai, sawa?
Ujamaa and dictatorship philosophy " wafanye wawe masikini ili uweze kuwatawala wanyime elimu, wabane kwenye kodi wasifirikirie zaidi ya kula tu.Siamini kuwa wanaolalamika kuwa maisha ni magumu wote walikuwa mafisadi.
Hembu tulete ushuhuda kama wewe
- Mfanyakazi
- Mkulima
- Muuza hoteli
- Muuza nguo
- Muuza genge Nk.
Tunaomba viongozi waweze kuchukua hatua hali mtaani ni worse.
Ushuhuda:
Nina kakibanda ulipaji wa kodi ni tabu mno kila siku wapangaji wanadai hawapati hela hivyo niwavumilie.
Hizi ni akili za fukara sio masikini. Na pili sijui kama hata shule ulienda, kama ulienda ulienda kukua mpk kidato cha nne ulipo feli ukaanza kuganga umasikini.
Kuna uhusiano mkubwa wa pesa kuwa katika mzunguko na kilio kilichopo mtaani
Sent using Jamii Forums mobile app
una umri gani? kama una umri chini ya miaka 10 nitakusamehe kukudharau ila kama upo above 10 na unaonge fact kama hii, wewe ni masikini wa fikraPesa ipo nyingi tu, tena hata wengine wanaichezea.
Juzi nilisikia kwenye redio moja eti kuna kampuni moja huko Dar imeitisha Watu wapigwe picha wapewe elfu tano nasikia Mji mzima wakahamia hapo...sasa uliona wapi pesa inatolewa kimchezo hivyo kama sio pesa kuchezewa?
Na ili iwe fundisho hii Kampuni ilazimishwe izunguke mikoa yote ili isionekane kama Dar inapendelewa.
Hata kama unafanya kitu ila haimaanishi kuwa hakuna utofauti wa awamu hii na awamu iliyopita,Kwa fursa zilizopo Tanzania kama huzioni basi utaishi kwa shida sana. Tanzania ni kati ya nchi chache zenye fursa lukuki unaanza biashara kwa mtaji mdogo ndani ya miaka kumi unakuwa milionea. Tatizo kubwa kwa watanzania walio wengi hamtaki kubadilika kutokana na wakati uliopo mumekalia kulialia tu maisha magumu hamtaki kushirikisha ubongo.
Acha kupotosha kijana kilimo Tanzania tena cha miti utavuna lini Mkuu?Watanzania wengi wana fikra za kimasikini huwezi ukasema maisha mugumu kwenye nchi yenye soko la watu zaidi ya milioni 55 na ardhi ya kilimo ya kutosha tena yenye rutuba na upatikanaji wake ni rahisi. Tatizo watu wengi mnataka mpate pesa bila kujishughulisha. Watu hawataki kubadilika kutokana na wakati. Watu wanatoka Kenya kuja kulima miti ya mbao na parachichi Tanzania sisi tupo tu tunasema maisha magumu. Kwa sasa mnasema nyanya moja shilingi 500, kupanga ni kuchagua wewe uliwekeza kununua iPhone Mimi niliwekeza kwenye kilimo cha nyanya matokeo yake ndiyo hayo, hivyo hutakiwa kulalamikia bei ya nyanya nakusema maisha magumu.