Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chase Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo

Mkuu pub za kisasa unapata msosi na jioni walevi wanapiga monde kwa hiyo anadaka kote kote... Ugali roast, wali nyama, mbogamboga, ugali nyama choma etc. Nilikuwa AR Chuga last month wale jamaa ni noma asubuhi mpaka chai, uji wa ulezi, mtori daah acha kabisa..
 
yani usifanye shughuli yoyote uwe muendesha bajaji tu duh!!
Sasa kama atapata elfu 20 au 30 daily unajua hiyo ni sawa na laki 7 na ushee kwa mwezi? Sawa na mshahara wa Mwalimu graduate??
 
Uza nununua Toyota probox hama Dar nenda mikoani huko mabuseresere,masirari sawa
Nimezikuta Kigoma huko zinasanya kweli kweli, kuuliza bei gani nikaambiwa kuanzia milioni 8
 

Mkuu unaiuzaje tuongee bei nikusaidie fasta!
 
Wewe si ndo yule ambaye ulikuwa unatusihi kupenda nchi yetu?
Mbna leo hujaandika tuwe wazalendo?
Kwani wap kaandika tuichukie nchi yetu,? yeye kasema biashara ya tax imekuwa ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…