Cotton pamba
JF-Expert Member
- Dec 16, 2020
- 303
- 209
😆😆😆Achana na biashara ya Pub utakuja kuokota makopo kwa uchizi ,fungua mgahawa wa chakula,vinywaji(maji+soda) ,walevi nao hawana hela siku hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆Achana na biashara ya Pub utakuja kuokota makopo kwa uchizi ,fungua mgahawa wa chakula,vinywaji(maji+soda) ,walevi nao hawana hela siku hizi.
Mkuu pub za kisasa unapata msosi na jioni walevi wanapiga monde kwa hiyo anadaka kote kote... Ugali roast, wali nyama, mbogamboga, ugali nyama choma etc. Nilikuwa AR Chuga last month wale jamaa ni noma asubuhi mpaka chai, uji wa ulezi, mtori daah acha kabisa..Uza gari fungua biashara ya mgahawa na uisimamie mwenyewe, watu ni lazima kila siku wale chakula hivyo ni jambo la muhimu.
Kufungua pub ni jambo la ziada tu, siyo lazima kila siku watu kunywa pombe.
Ukizingatia huu ushauri wangu utakuja kunishukuru siku zijazo.
Acha hizo mambo bana weKisha ataanza dharau. Wanawake hawa bhana wakishakuwa na pesa kuzidi waume zao basi ni shiiiiida
Sasa kama atapata elfu 20 au 30 daily unajua hiyo ni sawa na laki 7 na ushee kwa mwezi? Sawa na mshahara wa Mwalimu graduate??yani usifanye shughuli yoyote uwe muendesha bajaji tu duh!!
Mamy nilikuwa ninazungumzia wale malimbukeni na sio wanawake wote my wanguAcha hizo mambo bana we
Nimezikuta Kigoma huko zinasanya kweli kweli, kuuliza bei gani nikaambiwa kuanzia milioni 8Uza nununua Toyota probox hama Dar nenda mikoani huko mabuseresere,masirari sawa
Haya Baba nimekuelewa usiku mwemaMamy nilikuwa ninazungumzia wale malimbukeni na sio wanawake wote my wangu
Maisha yamekuwa magumu sana huku uswahilini kwetu. Ninatamani hata kuuza hii Taxi bubu yangu (Chaser Avante GX-100) nifungue walau pub ndogo.
Sasa ni karibia mwezi wa saba huu tangia nianze biashara hii ya kuendesha Taxi bubu. Nilianza mwezi wa tano (May) mwaka huu wa 2020. Biashara imekuwa ngumu sana kwa maana siku hizi kuna Bajaj.
Mtu anaona bora akodishe Bajaj kwa bei nafuu ndio ampeleke mgonjwa hospital au kwenda mjini. Sisi Taxi Drivers tupo hoi biashara imeshuka. Kabla ya Bajaj kuja huko mambo yalikuwa shwari sana mwaka jana 2019, ila sasa hivi ni balaa tupu.
CHASER AVANTE NUMBER "A"
View attachment 1652148
Kabla ya kuja Bajaj kulikuwa na hawa bodaboda ambao wao hawakuwa kikwazo kwetu kwa maana mtu hawezi kukodi bodaboda akabeba maharusi au akampeleka mama mjamzito kujifungua hospitali ya mbali.
Niliwahi kuwaza niendeshe gari hii kama Uber ila kutokana na ukubwa wake wa engine nisingeweza kupata faida yoyote. Ninaombeni msaada wenu wa mawazo.
Inategemea huo mgahawa wako uko pande gani? Kwa Dar walaji ni wa migahawani ni wengi sana mrembo. Njoo fungulia Dar uoneHujawahi hata kufanya biashara ya mgahawa wewe. Hakuna biashara ngumu kama mgahawa.
Arusha anaweza kubahatisha 4MUsijidanganye huwezi kuuza hiyo gari kwa 5mill hata ukipimp kiasi gani. Labda ukauzie mererani au geita kwenye madini huko sio DSM
Kwanini unasema Arusha anaweza kubahatisha kwa pesa hiyo?Arusha anaweza kubahatisha 4M
Wanunuzi wako piaKwanini unasema Arusha anaweza kubahatisha kwa pesa hiyo?
Una subiri nini kulala kijanaWanunuzi wako pia
Nakungoja ww uje tulale zetuUna subiri nini kulala kijana
Umeshanunua zile cheni na Pete 😢😢Nakungoja ww uje tulale zetu
Kwani wap kaandika tuichukie nchi yetu,? yeye kasema biashara ya tax imekuwa ngumuWewe si ndo yule ambaye ulikuwa unatusihi kupenda nchi yetu?
Mbna leo hujaandika tuwe wazalendo?
Hivi ni 984K au 98K?.Au mi nimesoma vibaya?.Usikimbilie kusema uongo we mbwiga kabla hujauliza kuna typing error pia
Jamaa sio mzalendo tena.Wewe si ndo yule ambaye ulikuwa unatusihi kupenda nchi yetu?
Mbna leo hujaandika tuwe wazalendo?
Hivi ni 984K au 98K?.Au mi nimesoma vibaya?.