Kanjulai
Member
- May 18, 2022
- 48
- 59
Mimi apa, jirani yangu alikuwa mbunge miaka ya 2005. Watoto wake walikuwa wananwa soda, shuleni wananunua sambusa za darasa zima. Miaka ikaenda mzee kapata scandal ubunge ukaisha. Kufupisha ni kwamba gwaride limegeuka. Mwingine tenaHaya sawa
Mwengine aje