johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Na vyuma chakavu!Hata kama! Marupurupu na bahasha za khaki ndiyo kila kitu! Tamisemi posho na bahasha ni nyingi ukilinganisha na huko aliko.
Jamaa alikuwa anapiga sana misele kukagua miradi ya bosi wake! Zile zote zilikuwa ni hela! Full Per diem! Sasa huko aliko anahangaika tu kukagua maji machafu ya kwenye viwanda!