Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

yupo super kamanyola ya mwanza.......nafikiri wanaimba tu nyimbo zilizotamba zamani. nimemuona akikomalia kuiimba 'nawashukuru wazazi wangu' ya ddc mlimani park. najihisi kuhuzunika kiasi, lkn sijui ni kwanini!!
Jitaandae vema kupumzika baada ya utumishi uwe wa kuajiriwa au kujiajiri kwa kuwa na kipato cha pili, tatu, nne nk kitakachokuwa mbadala wa kile cha kwanza
 
Mkuu umeongea vyema sana,
Ndugu zangu wana JF, anayopitia Ali Choki, na wengine ndio mfumo mzima wa Maisha ya watanzania. Wao wanajulikana na ndio maana tunawaona kirahisi walivyokuwa sasa tofauti na zamani

Tusiwabeze ndio mfumo ulivyo. Wazazi wetu sisi wengine walikuwa wakubwa serikalini lakini leo tunachangishana watoto kuwakatia Bima za Afya hawana uwezo tena na Maisha yamewapiga wanatutegemea sisi watoto wao. Tusipojipanga vyema na sisi tutakuwa hivyo hivyo tegemezi kwa watoto wetu. Wakati ni ukuta huwezi kubaki juu milele tecnolojia inabadilika na dunia inabadilika vizazi vinabadilika.

Kuna wengi upande wa wafanyakazi na wakulima, Mapedeshee ukiwaona wamefulia tofauti na kipindi cha nyuma

SOMO MUHIMU: Ukiwa juu jitahidi kuwekeza na kujijenga ili wakati unapobadilika ubaki kuwa juu au usitetereke sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata bibi alikuwa binti... Wakati ukuta...

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
 
Bora Choki Ukimuona Muumin utamuonea Huruma kweli maisha yanaenda kasi sana...Kuna siku nilimuona kwenye Bajaji za kuchangia jero jero anaenda kunegotiate na manager wa BAR apige show siku ya valentine na siku nyingine tukapanda naye Mwendokasi aiseee yaani mpole anatia huruma.
tatizo huwa wanasahau kuwekeza mambo yakiwa Mazuri....muumini si wa kukosa hta vibanda vitatu vya kuchukua kodi ili apunguze ukali wa maisha, sema ndyo ivo alichezea sana hela.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wana JF, anayopitia Ali Choki, na wengine ndio mfumo mzima wa Maisha ya watanzania. Wao wanajulikana na ndio maana tunawaona kirahisi walivyokuwa sasa tofauti na zamani

Tusiwabeze ndio mfumo ulivyo. Wazazi wetu sisi wengine walikuwa wakubwa serikalini lakini leo tunachangishana watoto kuwakatia Bima za Afya hawana uwezo tena na Maisha yamewapiga wanatutegemea sisi watoto wao. Tusipojipanga vyema na sisi tutakuwa hivyo hivyo tegemezi kwa watoto wetu. Wakati ni ukuta huwezi kubaki juu milele tecnolojia inabadilika na dunia inabadilika vizazi vinabadilika.

Kuna wengi upande wa wafanyakazi na wakulima, Mapedeshee ukiwaona wamefulia tofauti na kipindi cha nyuma

SOMO MUHIMU: Ukiwa juu jitahidi kuwekeza na kujijenga ili wakati unapobadilika ubaki kuwa juu au usitetereke sana
hii comment ilipaswa kusomwa na kila kijana mwenye miaka kuanzia 25 mpaka 45 .....tusipojipanga mapema lazima tutaadhirika huko mbeleni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wakati wangu ile competition ya

Fm academia
Akudo impact
Twanga pepeta
Diamond musica
Mashujaa musica

Ilikua hatarii mnoo,, bongo fleva ilisahaulika kwa kipindi hizo band zinatoa vyuma kila kukicha,

Competition ya marapa kama msafiri diof,sauti ya radi,kitokololo,g7,canal top,ferguson n.k ilikua balaaaa

Daaaaa sijui tufanye je sisis wanywa lager hizi band zirudi kwenye ubora wao

Sent using Jamii Forums mobile app
ndo basi tena, tupende tu uno maana hakuna namna!!
 
ya
Taarabu ya hadiaj kopa na nasma hamis ilikuja kasi ikawapoteza bendi na bongo fleva baadaye bendi ikarudi kidogo nao wakapotea sasa bongo imebaki bongo zozo maana hata sio bongo fleva tena.
ani we acha tu.
r.i.p nasma
walikuwa mastaa wasiofikika kirahisi
 
Khadija kimobitel na Bad Bakule mwaka 2018,walikuwa wanapiga show bar ya TOT Tabata,kila Jmosi kiingilio kinywaji.Weekend nikiwa naandalia EPL nasindikizwa na burudani kutoka kwao.

Ali Choki aka mzee wa Farasi enzi zake alikuwa hatari.Sijui super Nyamwela na super Danger wapo wapi nao.Nakumbuka kipindi cha nyuma nipo Manyanya kituoni,nilimuona Nyamwela anashuka kwenye gari na demu mkali kinyama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora Choki Ukimuona Muumin utamuonea Huruma kweli maisha yanaenda kasi sana...Kuna siku nilimuona kwenye Bajaji za kuchangia jero jero anaenda kunegotiate na manager wa BAR apige show siku ya valentine na siku nyingine tukapanda naye Mwendokasi aiseee yaani mpole anatia huruma.
Mkuu alikuambia hayo unayosema au ni ya kwako tu???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wana JF, anayopitia Ali Choki, na wengine ndio mfumo mzima wa Maisha ya watanzania. Wao wanajulikana na ndio maana tunawaona kirahisi walivyokuwa sasa tofauti na zamani

Tusiwabeze ndio mfumo ulivyo. Wazazi wetu sisi wengine walikuwa wakubwa serikalini lakini leo tunachangishana watoto kuwakatia Bima za Afya hawana uwezo tena na Maisha yamewapiga wanatutegemea sisi watoto wao. Tusipojipanga vyema na sisi tutakuwa hivyo hivyo tegemezi kwa watoto wetu. Wakati ni ukuta huwezi kubaki juu milele tecnolojia inabadilika na dunia inabadilika vizazi vinabadilika.

Kuna wengi upande wa wafanyakazi na wakulima, Mapedeshee ukiwaona wamefulia tofauti na kipindi cha nyuma

SOMO MUHIMU: Ukiwa juu jitahidi kuwekeza na kujijenga ili wakati unapobadilika ubaki kuwa juu au usitetereke sana
ahsante ndugu. ni ujumbe murua kabisa......
tatizo sisi binadamu ni wepesi sana kusahau na kupuuzia mambo, hata hao kina choki na muumini walipokuwa juu nadhani mifano ya wakongwe wa zamani waliotamba ambao sasa ndo hizo nyimbo zao wanaziimba walikuiwa nayo lakini hawakutilia maanani.
kuna makumi ya wastaafu, wa kitambo kama hao unaowasema na wengine wa miaka hii hii ya juzi tu (2015 kuja juu), ambao tayari wameshapoteza dira ikiwemo hata kushindwa kumalizia nyumba walizoanza kuzijenga baada ya kustaafu na kutokuwa au kushindwa kuendeleza mradi.....bado unawaona vijana wakishindwa kuona na kujifunza, wanaponda tu maisha!!
 
Ndugu zangu wana JF, anayopitia Ali Choki, na wengine ndio mfumo mzima wa Maisha ya watanzania. Wao wanajulikana na ndio maana tunawaona kirahisi walivyokuwa sasa tofauti na zamani

Tusiwabeze ndio mfumo ulivyo. Wazazi wetu sisi wengine walikuwa wakubwa serikalini lakini leo tunachangishana watoto kuwakatia Bima za Afya hawana uwezo tena na Maisha yamewapiga wanatutegemea sisi watoto wao. Tusipojipanga vyema na sisi tutakuwa hivyo hivyo tegemezi kwa watoto wetu. Wakati ni ukuta huwezi kubaki juu milele tecnolojia inabadilika na dunia inabadilika vizazi vinabadilika.

Kuna wengi upande wa wafanyakazi na wakulima, Mapedeshee ukiwaona wamefulia tofauti na kipindi cha nyuma

SOMO MUHIMU: Ukiwa juu jitahidi kuwekeza na kujijenga ili wakati unapobadilika ubaki kuwa juu au usitetereke sana
umeongea facts na ukweli mtupu mkuu, huo ndio ukweli halisi.
 
Back
Top Bottom