Kipindi kile kama hakufanya la maana,nitamshangaa,kipindi ambacho kiukweli muziki ulikuwa juu na walipata visenti kiasi.Nakumbuka enzi zao kila Jumatano mtiti wa nguvu Billicanas na Jumamosi TCC Club Chang'ombe hapatoshi. Enzi hizo ukiingia Club bia inauzwa buku
Hizi zama za wabana pua akina Mondi, Harmo, Kiba n.kDansi zama zake zishaisha.
Jitaandae vema kupumzika baada ya utumishi uwe wa kuajiriwa au kujiajiri kwa kuwa na kipato cha pili, tatu, nne nk kitakachokuwa mbadala wa kile cha kwanzayupo super kamanyola ya mwanza.......nafikiri wanaimba tu nyimbo zilizotamba zamani. nimemuona akikomalia kuiimba 'nawashukuru wazazi wangu' ya ddc mlimani park. najihisi kuhuzunika kiasi, lkn sijui ni kwanini!!
Ndugu zangu wana JF, anayopitia Ali Choki, na wengine ndio mfumo mzima wa Maisha ya watanzania. Wao wanajulikana na ndio maana tunawaona kirahisi walivyokuwa sasa tofauti na zamani
Tusiwabeze ndio mfumo ulivyo. Wazazi wetu sisi wengine walikuwa wakubwa serikalini lakini leo tunachangishana watoto kuwakatia Bima za Afya hawana uwezo tena na Maisha yamewapiga wanatutegemea sisi watoto wao. Tusipojipanga vyema na sisi tutakuwa hivyo hivyo tegemezi kwa watoto wetu. Wakati ni ukuta huwezi kubaki juu milele tecnolojia inabadilika na dunia inabadilika vizazi vinabadilika.
Kuna wengi upande wa wafanyakazi na wakulima, Mapedeshee ukiwaona wamefulia tofauti na kipindi cha nyuma
SOMO MUHIMU: Ukiwa juu jitahidi kuwekeza na kujijenga ili wakati unapobadilika ubaki kuwa juu au usitetereke sana
tatizo huwa wanasahau kuwekeza mambo yakiwa Mazuri....muumini si wa kukosa hta vibanda vitatu vya kuchukua kodi ili apunguze ukali wa maisha, sema ndyo ivo alichezea sana hela.Bora Choki Ukimuona Muumin utamuonea Huruma kweli maisha yanaenda kasi sana...Kuna siku nilimuona kwenye Bajaji za kuchangia jero jero anaenda kunegotiate na manager wa BAR apige show siku ya valentine na siku nyingine tukapanda naye Mwendokasi aiseee yaani mpole anatia huruma.
aisee, kama mnafahamiana na una maadili lazima ubadili njia kumpishaHata supa nyamwela nae yupo hiyo bendi ya kamanyola ya mwanza wamechoka balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
kwakweli.....walilewa sana sifatatizo huwa wanasahau kuwekeza mambo yakiwa Mazuri....muumini si wa kukosa hta vibanda vitatu vya kuchukua kodi ili apunguze ukali wa maisha, sema ndyo ivo alichezea sana hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
hii comment ilipaswa kusomwa na kila kijana mwenye miaka kuanzia 25 mpaka 45 .....tusipojipanga mapema lazima tutaadhirika huko mbeleni..Ndugu zangu wana JF, anayopitia Ali Choki, na wengine ndio mfumo mzima wa Maisha ya watanzania. Wao wanajulikana na ndio maana tunawaona kirahisi walivyokuwa sasa tofauti na zamani
Tusiwabeze ndio mfumo ulivyo. Wazazi wetu sisi wengine walikuwa wakubwa serikalini lakini leo tunachangishana watoto kuwakatia Bima za Afya hawana uwezo tena na Maisha yamewapiga wanatutegemea sisi watoto wao. Tusipojipanga vyema na sisi tutakuwa hivyo hivyo tegemezi kwa watoto wetu. Wakati ni ukuta huwezi kubaki juu milele tecnolojia inabadilika na dunia inabadilika vizazi vinabadilika.
Kuna wengi upande wa wafanyakazi na wakulima, Mapedeshee ukiwaona wamefulia tofauti na kipindi cha nyuma
SOMO MUHIMU: Ukiwa juu jitahidi kuwekeza na kujijenga ili wakati unapobadilika ubaki kuwa juu au usitetereke sana
ndo basi tena, tupende tu uno maana hakuna namna!!Kwa wakati wangu ile competition ya
Fm academia
Akudo impact
Twanga pepeta
Diamond musica
Mashujaa musica
Ilikua hatarii mnoo,, bongo fleva ilisahaulika kwa kipindi hizo band zinatoa vyuma kila kukicha,
Competition ya marapa kama msafiri diof,sauti ya radi,kitokololo,g7,canal top,ferguson n.k ilikua balaaaa
Daaaaa sijui tufanye je sisis wanywa lager hizi band zirudi kwenye ubora wao
Sent using Jamii Forums mobile app
ani we acha tu.Taarabu ya hadiaj kopa na nasma hamis ilikuja kasi ikawapoteza bendi na bongo fleva baadaye bendi ikarudi kidogo nao wakapotea sasa bongo imebaki bongo zozo maana hata sio bongo fleva tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Khadija kimobitel na Bad Bakule mwaka 2018,walikuwa wanapiga show bar ya TOT Tabata,kila Jmosi kiingilio kinywaji.Weekend nikiwa naandalia EPL nasindikizwa na burudani kutoka kwao.
Ali Choki aka mzee wa Farasi enzi zake alikuwa hatari.Sijui super Nyamwela na super Danger wapo wapi nao.Nakumbuka kipindi cha nyuma nipo Manyanya kituoni,nilimuona Nyamwela anashuka kwenye gari na demu mkali kinyama.
Mkuu alikuambia hayo unayosema au ni ya kwako tu???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora Choki Ukimuona Muumin utamuonea Huruma kweli maisha yanaenda kasi sana...Kuna siku nilimuona kwenye Bajaji za kuchangia jero jero anaenda kunegotiate na manager wa BAR apige show siku ya valentine na siku nyingine tukapanda naye Mwendokasi aiseee yaani mpole anatia huruma.
Mkuu acha basii, daaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwijuma Muumini anapatikana kwenye Mghahawa Bubu pale Mtoni Mtongani,anamsaidia Mmama kuuza chakula,ujira wake ukiwa ni kupewa msosi wa bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante ndugu. ni ujumbe murua kabisa......Ndugu zangu wana JF, anayopitia Ali Choki, na wengine ndio mfumo mzima wa Maisha ya watanzania. Wao wanajulikana na ndio maana tunawaona kirahisi walivyokuwa sasa tofauti na zamani
Tusiwabeze ndio mfumo ulivyo. Wazazi wetu sisi wengine walikuwa wakubwa serikalini lakini leo tunachangishana watoto kuwakatia Bima za Afya hawana uwezo tena na Maisha yamewapiga wanatutegemea sisi watoto wao. Tusipojipanga vyema na sisi tutakuwa hivyo hivyo tegemezi kwa watoto wetu. Wakati ni ukuta huwezi kubaki juu milele tecnolojia inabadilika na dunia inabadilika vizazi vinabadilika.
Kuna wengi upande wa wafanyakazi na wakulima, Mapedeshee ukiwaona wamefulia tofauti na kipindi cha nyuma
SOMO MUHIMU: Ukiwa juu jitahidi kuwekeza na kujijenga ili wakati unapobadilika ubaki kuwa juu au usitetereke sana
isije kuwa ni msafiri diouf huyu, maana walikuwa wapinzaniMkuu acha basii, daaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
umeongea facts na ukweli mtupu mkuu, huo ndio ukweli halisi.Ndugu zangu wana JF, anayopitia Ali Choki, na wengine ndio mfumo mzima wa Maisha ya watanzania. Wao wanajulikana na ndio maana tunawaona kirahisi walivyokuwa sasa tofauti na zamani
Tusiwabeze ndio mfumo ulivyo. Wazazi wetu sisi wengine walikuwa wakubwa serikalini lakini leo tunachangishana watoto kuwakatia Bima za Afya hawana uwezo tena na Maisha yamewapiga wanatutegemea sisi watoto wao. Tusipojipanga vyema na sisi tutakuwa hivyo hivyo tegemezi kwa watoto wetu. Wakati ni ukuta huwezi kubaki juu milele tecnolojia inabadilika na dunia inabadilika vizazi vinabadilika.
Kuna wengi upande wa wafanyakazi na wakulima, Mapedeshee ukiwaona wamefulia tofauti na kipindi cha nyuma
SOMO MUHIMU: Ukiwa juu jitahidi kuwekeza na kujijenga ili wakati unapobadilika ubaki kuwa juu au usitetereke sana
... Ata kama maisha yamempiga kiasi gani, hawezi kufkia uongo uliouandika.Mwijuma Muumini anapatikana kwenye Mghahawa Bubu pale Mtoni Mtongani,anamsaidia Mmama kuuza chakula,ujira wake ukiwa ni kupewa msosi wa bure.
Sent using Jamii Forums mobile app