Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

Kama wote wako hai inatosha pesa sio ishu sana wanazipata kula siku ziende ukishalijua Hilo chili’s hatua haraka jiwekeze Hata sisi wa Enzo za Ali na akina Hega tumechoka basi tu hatujulikani kwa majini
 
yupo super kamanyola ya mwanza.......nafikiri wanaimba tu nyimbo zilizotamba zamani. nimemuona akikomalia kuiimba 'nawashukuru wazazi wangu' ya ddc mlimani park. najihisi kuhuzunika kiasi, lkn sijui ni kwanini!!
Mwaka juzi alikuwa Tabora mjini anaimba na bendi fulani pale Whatsup Pub
 
Kama wote wako hai inatosha pesa sio ishu sana wanazipata kula siku ziende ukishalijua Hilo chili’s hatua haraka jiwekeze Hata sisi wa Enzo za Ali na akina Hega tumechoka basi tu hatujulikani kwa majini
Muumini alikuwa habari nyingine miaka ya 2000's sio wa kupanda Bajaji za Jero Jero.
 
Niliwahi pia mara kwa mara kumsaidia buku mbili mbili lakini nikastuliwa kwamba hazitumii kwa chakula...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…