Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap Kuna kipindi nilikua mbali Sana na dunia. Bila simu, bila radio, bila kifaa chochote Cha mawasiliano.Upo Tanzania hii Mwenyekiti!!!
Kabisa mkuuNa hapa ndio kuna watu wengi sana.
Ulikuwa jera weweYap Kuna kipindi nilikua mbali Sana na dunia. Bila simu, bila radio, bila kifaa chochote Cha mawasiliano.
Hadi kifo Cha mshua John nilihadithiwa TU.
Hiyo ilikuwa January 2021 mpaka 22 Feb.
Bila shaka kipindi hiki ndicho alichokufa Ana,
Nilistuka pia kuskia maalim Kashasha nae alifariki
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Acha uchuro Tupac bado yupoPac, Biggie,Pun,Jam Master Jay, Freaky Tah ,Alliyah,Big L , Left Eye ,Pop Smoke , Trouble ,Young Dolph , LottaCashDesto,Huey,Nipse,xxxcenton.
Ndo aliyeleta hesabu za ana ana dooo..!!???Asilale pema alituvurugia sana elimu yetu kwa maslahi yake binafsi
Walikuwa ni maCeleb pia?R.I.P ndugu zangu wote waliotangulia mbel za haki
MTOIRIP MAKAMANDA MLIOFIA VITANI KAMANDA MTOI KAMANDA MAWAZO KAMANDA MWANA COTIDE MOULA NA WENGINE WENGI AMBAO TULIKUA NAO KWENYE MAPAMBANO
Inauma pia tunawakumbukaMTOI
Dah mara ya mwisho tulionana nae Lushoto Tanga kijiji cha Mlalo kwenye mazishi ya ndugu yake ambapo mie rafiki ndio alifiwa na mama yake. R.I.P
hakika inafikirisha sana ..R.I.P
Nyerere, Magufuli, B Mkapa, J Kijazi, Maalim Seif, Augustino Mrema, Basil Mramba, Reganald Mengi, Ruge Mutahaba, Beno Ndulu, Getrude Lwakatare, King Majuto, Mwl Kashasha, Maalim Gurumo, TX Moshi, Selemani Mbwembwe, Mwanyiro, Momba, Banza Stone, Waziri Sonyo, Mangwea, Langa, Kanumba, Masogange, Mpakanjia, Amina Chifupa, Joseph Mungai, Christopher Mtikila, Shekh Ilunga, Gorogosi, Mez B, Jebby, Sharo Millionaire, Subash Patel n.k, hii ni Tanzania tu!
Kweli Duniani tunapita na hawa ni wale baadhi ya watu maarufu tu. ukaona kama juzi tu lakini ndiyo safari yetu.
Leo nimewakumbuka hawa. [emoji25][emoji29]
Mtaje unayemkumbuka ukijisikia.
Physics with chemistry😂😂😂😂Asilale pema alituvurugia sana elimu yetu kwa maslahi yake binafsi